Nahitaji kazi, Msaada wenu Wakuu

Nahitaji kazi, Msaada wenu Wakuu

basi wewe huna shida na kazi,wacha kusumbua watu humu.
Kwani jeshi ndio kazi pekee?Hata kama sipendi jeshi ndio niende kisa tu nina shida ya kazi?
Halafu sijasumbua mtu humu,ni hiyari ya mtu kunisaidia.
Asante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom