Nahitaji kazi, Msaada wenu Wakuu

Kila la heri...ninaukopi uzi wako namtumia mtu fulani hivi anayecheza na elimu...yaani mtu mwenye cheti anatafuta hata kazi ya kusuka nywele...!
 
Kila la heri...ninaukopi uzi wako namtumia mtu fulani hivi anayecheza na elimu...yaani mtu mwenye cheti anatafuta hata kazi ya kusuka nywele...!
Asante mkuu.
 
Bado sijapata kazi wakuu,msaada wenu wahitajika.
 
we fanya hivyo uone kama hautakosa msaada
Bora niikose tu,siwezi kuweka picha yangu hapa ili nipate kazi.
Wapo wastaarabu watakaonisaidia bila kuweka picha.
Asante.
 
Unaweza kufanya nje ya mkoa wa Dar kama vile Tanga au Mtwara au ww shida yako ni Dar pekee?
 
jkt wametangaza nafasi.changamkia
 
Amechelewa Mkuu, Nasikia kuapply ilikuwa mwisho Ijumaa iliyopita yaani tar 15 mwenzi huu.

Ila namshauri awe mvumilivu na awe makini si kila mtu ana nia ya dhati kumsaidia. Wengine wakishajua jinsia yako na shida uliyonayo watakuponza.

Na unapoomba kazi usiwe unaomba kwa kutegemea uhurumiwe itakucost dada yangu.

Hope, Nikipata panapokufaa nitakushtua.
 
Nipo makini,asante mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…