Mim nahitaji kwa mambo mengi tuKadi ya CCM ina faida nyingi kwako , lakin yaweza kuwa hasara kwa jamii iliyokuzunguka,
Namaanisha mambo yako yanaweza yakakunyookea vema kwa kutumia magumashi na kadi yako hiyo ya CCM maana wamezoea kujificha ndani ya mgongo wa CCM
Lakin pili yaweza kuwa hasara kwa jamii ikuzungukayo kama utaichukua kadi kwa manufaa yako kama nilivyoeleza namba moja hapo,
Tatu waweza kuitaka kwa uanachama wa kawaida tu,
Sasa nauliza nini kimekufanya kuitaka kwa haraka kadi ya CCM?
BASI POWA WE ONANA NA BWANA POLE POLE PALE LUMUMBA UTAPATAMim nahitaji kwa mambo mengi tu
Kwanza niweze kufanikisha plan zangu coz najua ntaweza kukutana na watu wengi wenye maono ya kimaendeleo
Pili kuna mambo yanayoendelea ambayo naweza kupambana nayo ili kuepusha jamii especially rafiki zangu nliokuwa nao kwenye mtaa wangu mana wao wanategemea sana viongozi wa serikali kutatua shida zao binafsi
kuwa mchawi sio lazima uwe na kadi ya wachawi.Jaman ndugu zangu kama kuna mtu anaweza nisaidia kupata kadi ya uanachama ya CCM anisaidie
Maana nasikia nazo bila connection hauwezi pata kadi
Siyo kuteuliwaHahahaaaa, unataka ajira au uteuzi? Siku hz huteuliwa waliokulia kwenye Chama. Sio unaingia Chama kiboshenibosheni ili ufanikiwe, hutofanikiwa.
Mimi nimeamua tu nisiwe mwanachama wa Chama chochote cha kisiasa.
Siyo kuteuliwa
Labda nikwambie kitu kadi ya ccm imenikosesha fursa nying na ninaiona yenyew ndo kikwazo mm kutofikia vzr malengo yangu
wewe endelea tu kuloga automatic utatambulika kwenye chama cha wachawi.Bila kadi hawakutambui kweny chama chao