Nahitaji kadi ya uanachama ya CCM

Tainya

Senior Member
Feb 21, 2016
180
225
Jaman ndugu zangu kama kuna mtu anaweza nisaidia kupata kadi ya uanachama ya CCM anisaidie

Maana nasikia nazo bila connection hauwezi pata kadi
 
britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,260
2,000
Kadi ya CCM ina faida nyingi kwako , lakin yaweza kuwa hasara kwa jamii iliyokuzunguka,

Namaanisha mambo yako yanaweza yakakunyookea vema kwa kutumia magumashi na kadi yako hiyo ya CCM maana wamezoea kujificha ndani ya mgongo wa CCM

Lakin pili yaweza kuwa hasara kwa jamii ikuzungukayo kama utaichukua kadi kwa manufaa yako kama nilivyoeleza namba moja hapo,

Tatu waweza kuitaka kwa uanachama wa kawaida tu,

Sasa nauliza nini kimekufanya kuitaka kwa haraka kadi ya CCM?
 
Mim nahitaji kwa mambo mengi tu

Kwanza niweze kufanikisha plan zangu coz najua ntaweza kukutana na watu wengi wenye maono ya kimaendeleo

Pili kuna mambo yanayoendelea ambayo naweza kupambana nayo ili kuepusha jamii especially rafiki zangu nliokuwa nao kwenye mtaa wangu mana wao wanategemea sana viongozi wa serikali kutatua shida zao binafsi
 
Bombabomba

JF-Expert Member
Dec 23, 2017
1,105
2,000
Hahahaaaa, unataka ajira au uteuzi? Siku hz huteuliwa waliokulia kwenye Chama. Sio unaingia Chama kiboshenibosheni ili ufanikiwe, hutofanikiwa.
Mimi nimeamua tu nisiwe mwanachama wa Chama chochote cha kisiasa.
 
BASI POWA WE ONANA NA BWANA POLE POLE PALE LUMUMBA UTAPATA
 
Tainya

Senior Member
Feb 21, 2016
180
225
Hahahaaaa, unataka ajira au uteuzi? Siku hz huteuliwa waliokulia kwenye Chama. Sio unaingia Chama kiboshenibosheni ili ufanikiwe, hutofanikiwa.
Mimi nimeamua tu nisiwe mwanachama wa Chama chochote cha kisiasa.
Siyo kuteuliwa

Labda nikwambie kitu kadi ya ccm imenikosesha fursa nying na ninaiona yenyew ndo kikwazo mm kutofikia vzr malengo yangu
 
Noelia

JF-Expert Member
May 26, 2017
12,957
2,000
Unataka kufunika kombe wewe!

Fanya kufika ofisi za ccm zilizopo karibu nawe,
Siyo kuteuliwa

Labda nikwambie kitu kadi ya ccm imenikosesha fursa nying na ninaiona yenyew ndo kikwazo mm kutofikia vzr malengo yangu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom