Nahitaji kadi maalum VVIP ya kataa ndoa, nimechoka

Habari za jioni ndugu waumini wa kataa ndoa

Leo naleta kisa changu

Nivumiliwe ishu ya uandishi

Mimi ni kijana umri 34 nilibahatika kupata mwenzangu ambaye pia alikuwa mwajiliwa mimi nikiwa mfanya biashara mwaka 2017 akiwa ndo ajira mpya nikashoboka na mtoto kikaumana maisha yakanza

Tumeishi katika mahusiano ya mbali kama km 40 mpaka mwaka 2018 akahamia kituo cha karibu km 25

Maisha yakaendelea akapata mimba 2019 ambapo pia alifanikiwa kuhamia nilipo kabisa ambapo tayar nilikuwa nimeshajenga nyumba na kuhamia kwangu kutoka kuwa mpangaji

Maisha yakaendelea mimba ya kwanza ikaharibika mapambano yakaendelea

Mtoto wa kwanza kiume tukapata akafaitiwa na wa kike ambaye ndio wa mwisho

Kipindi chote hicho uchumi wangu ulikuwa kwenye pick sana

Maokoto ilikuwa yakutosha

Shetani huingia katikati ya safari ghafla mwaka 2022 nikashitakiwa baraza la kata

Nikaitwa nakuta amejaza fomu tuachane

Nikakubali nikasain bila kuwaza

Ile kitu ilimshtua sana mwenzangu na watu wa baraza

Palepale manake alimpigia simu mama yake mzazi

Kuwa amesain hata bila kusoma

Baraza likaamuru jambo liende mbele ambapo ni mahakamani

Nikaitwa mi na yeye

Hakimu baada ya kusikiliza maelezo ya mwanamke akatupilia mbali shauri mwanamke akashindwa

Baada ya hapo akarudi home analia na kuomba msamaha, baada ya muda nikasemehe maisha yakaendelea

Ila nilimwambia saiv unaomba msamaha kwa kuwa jambo lako limefel

Na alikiri kuwa mshaur wake mbaya ni mama yake mzazi, nilimuuliza mara mbili tatu unauhakika? Akajibu ndio nikaona basi kwakuwa amekiri

Nikurudishe nyuma kidogo msomaji

Tuhuma alizo toa ilikuwa kwamba sihudumii familia hivyo nimpe taraka

Tugawane mali

Ikapita hiyo

Tuendelee

Amani ikarejea kama mwanzo utulivu wa kutosha

Sekeseke likanza upya ghafla mwaka huu january

Ilianza tu nikimuingelesha haongei

Nikimtuma kitu haendi

Ghafla akasema anaenda mahakamani

Nikajibu sawa

Mahakama ya mwanzo kata nayoishi kule akagomewa

Akaenda ofisi ya kata nikaitwa nikaenda

Nikapewa mashtaka ya sihudumii familia

Nikayakana nikaeleza ukweli

Na ukweli ni kwamba mimi ndo nanunua vyakula na kuprovide mahitaji yote ya nyumbani

Mke wangu hata namba za luku hazijui

Lakin mtendaji alionekana kubase kwa mwanamke

Hivyo baadaye nikamua kuondoka

Siku ikafata nikaitwa polis

Akaleleza nikaeleza

Polis wakamshauri haya mambo mngekaa tu chini maana hakuna ishu ya maana

Hapa na imeshindwa kujibu maswali aliyokuuliza

Vyakula mnavyokula nani anatoa pesa?

Hujajibu

So polis wakampitezea

Wakati haya yote yanaendelea

Kashatoa taarifa nyumbani kwetu na kwao

Na kunichafua sana na akaaminika sana

Mwenzangu ana wazazi wote wawili

Mi wote wawili walishatangulia mbele za haki

Baba toka 2002 mama amefariki nikiwa chuo mwaka 2014

Lakin nimeishi sana kwa ndugu

Katika hili wote walikuwa uapnde wake

Ila nikaza sana na msimamo wangu

Ok

Ikatokea ghafla akaondoka nyumban siku 5 bila kuaga

Narud nakuta hayupo na simu hapatikani

Muda huo tayar nishagombana na ndugu zangu kuhusu kusikiliza upande mmoja

Hili lilienda sanjar na kwa wazazi wake

Kuwapanga vya uongo

Siku amerudi kafikia kwa jirani yangu na sio nyumban

Sikuona haja ya kumfatilia nikajua tayar huyu sio wangu

Huku na huki akatorosha watoto kupeleka kwao ngara huko

Karudi kafungua kesi

Leo imesomwa nikasomewa mashtaka

Dai lake

Sihudumii familia

Nimemfukuza

Namnyanyasa

Haya yote nikayakataa kwakuwa sio kweli

Kibaya sana nyuma yake kuna kundi la watu wanamjaza sana upepo hakim amemtaka jumatano afike na mashahid wake

Lengo au hitaji lake ni taraka na mgawanyo wa mali

Nimelia sana wiki hii mpaka basi kila nikiwaza lakini

Sijui mwisho wangu

Na isitoshe kwa sasa pia uchumi wangu umeshake kwa kiasi flani

Nasunir kuwaona mashahid siku husika

Sijajua nini kitatokea

Ila mungu asimame kwenye haki

Naichukia sana ndo kwa kweli

Japo sikuwahi funga naye kupata chet ila zile kimila tu manake mpaka mali nilitoa

Nakataa ndoa

Nakataa ndoa

Nakataa ndoa

Asanteni

Pole sana kwa hili kaka, ila angalia kote ndoa zao ni kama yako? Then ukipata majibu kaa chini jiambie nilipita pabaya Mungu nisimamie nimalize hili maumivu yakiisha nipatie anayestahili
 
Pole sana kwa hili kaka, ila angalia kote ndoa zao ni kama yako? Then ukipata majibu kaa chini jiambie nilipita pabaya Mungu nisimamie nimalize hili maumivu yakiisha nipatie anayestahili
Nakupigia mayooo jfcall
 
Tuna mikesi mingi ya ndoa, usipoteze muda huyo hakufai tena, ukiitwa mahakamani mwambie hakimu hutaki kupoteza muda talaka itoke haraka.

Mgawane hizo mali usiweke vikwazo, hizo mali ulizitafuta kwa mikono yako, zitarudi kwa mikono yako.

Hapo hakuna ndoa usipoteze muda. Hata mwaka hautaisha huyo mwanamke atarudi kukulilia.

Ogopa mtu ambae kitu kidogo anakimbilia mahakamani mgawane mali.
We mwanamke upo, umeadimika kweli. Aisee kwanza umemshauri na kumtia moyo. Asilazimishe huyo mwanamke kubaki, akubali ni anguko aanze upya. Kilicho chako huwa kinarudi haijalish ni wakati gani
 
Ila sisi wanawake saa nyingine tunatia aibu. Kwanini utamani jasho la mtu mwingine mpaka uvunje ndoa sababu hiyo? Kuna jamaa yangu wameishi na mke wake 30 years, alichotendwa na mwanamke hatasahau hadi anaenda kaburini. Sasa hivi ana 56 years hana hata mia ,karudi upareni huko. Watoto wako na mama yao hawana hata habari na baba. Nimekutana naye upareni juzi msibani, loh yaani hata hela ya kula shida.
Aliwahi kuchanganyikiwa kabisa akalazwa amana, sijui alipigwa kimbola. Ila ndoa inaweza kukuharibia maisha mazima
Kuchanganyikiwa kunakuja na stress. Ni mapito magumu sana kupoteza mali na familia at the same time. Mbaya zaid ni mtu ulimuamini uka muoa. Ni betrayal ya kiwango cha juu zaidi
 
Habari za jioni ndugu waumini wa kataa ndoa

Leo naleta kisa changu

Nivumiliwe ishu ya uandishi

Mimi ni kijana umri 34 nilibahatika kupata mwenzangu ambaye pia alikuwa mwajiliwa mimi nikiwa mfanya biashara mwaka 2017 akiwa ndo ajira mpya nikashoboka na mtoto kikaumana maisha yakanza

Tumeishi katika mahusiano ya mbali kama km 40 mpaka mwaka 2018 akahamia kituo cha karibu km 25

Maisha yakaendelea akapata mimba 2019 ambapo pia alifanikiwa kuhamia nilipo kabisa ambapo tayar nilikuwa nimeshajenga nyumba na kuhamia kwangu kutoka kuwa mpangaji

Maisha yakaendelea mimba ya kwanza ikaharibika mapambano yakaendelea

Mtoto wa kwanza kiume tukapata akafaitiwa na wa kike ambaye ndio wa mwisho

Kipindi chote hicho uchumi wangu ulikuwa kwenye pick sana

Maokoto ilikuwa yakutosha

Shetani huingia katikati ya safari ghafla mwaka 2022 nikashitakiwa baraza la kata

Nikaitwa nakuta amejaza fomu tuachane

Nikakubali nikasain bila kuwaza

Ile kitu ilimshtua sana mwenzangu na watu wa baraza

Palepale manake alimpigia simu mama yake mzazi

Kuwa amesain hata bila kusoma

Baraza likaamuru jambo liende mbele ambapo ni mahakamani

Nikaitwa mi na yeye

Hakimu baada ya kusikiliza maelezo ya mwanamke akatupilia mbali shauri mwanamke akashindwa

Baada ya hapo akarudi home analia na kuomba msamaha, baada ya muda nikasemehe maisha yakaendelea

Ila nilimwambia saiv unaomba msamaha kwa kuwa jambo lako limefel

Na alikiri kuwa mshaur wake mbaya ni mama yake mzazi, nilimuuliza mara mbili tatu unauhakika? Akajibu ndio nikaona basi kwakuwa amekiri

Nikurudishe nyuma kidogo msomaji

Tuhuma alizo toa ilikuwa kwamba sihudumii familia hivyo nimpe taraka

Tugawane mali

Ikapita hiyo

Tuendelee

Amani ikarejea kama mwanzo utulivu wa kutosha

Sekeseke likanza upya ghafla mwaka huu january

Ilianza tu nikimuingelesha haongei

Nikimtuma kitu haendi

Ghafla akasema anaenda mahakamani

Nikajibu sawa

Mahakama ya mwanzo kata nayoishi kule akagomewa

Akaenda ofisi ya kata nikaitwa nikaenda

Nikapewa mashtaka ya sihudumii familia

Nikayakana nikaeleza ukweli

Na ukweli ni kwamba mimi ndo nanunua vyakula na kuprovide mahitaji yote ya nyumbani

Mke wangu hata namba za luku hazijui

Lakin mtendaji alionekana kubase kwa mwanamke

Hivyo baadaye nikamua kuondoka

Siku ikafata nikaitwa polis

Akaleleza nikaeleza

Polis wakamshauri haya mambo mngekaa tu chini maana hakuna ishu ya maana

Hapa na imeshindwa kujibu maswali aliyokuuliza

Vyakula mnavyokula nani anatoa pesa?

Hujajibu

So polis wakampitezea

Wakati haya yote yanaendelea

Kashatoa taarifa nyumbani kwetu na kwao

Na kunichafua sana na akaaminika sana

Mwenzangu ana wazazi wote wawili

Mi wote wawili walishatangulia mbele za haki

Baba toka 2002 mama amefariki nikiwa chuo mwaka 2014

Lakin nimeishi sana kwa ndugu

Katika hili wote walikuwa uapnde wake

Ila nikaza sana na msimamo wangu

Ok

Ikatokea ghafla akaondoka nyumban siku 5 bila kuaga

Narud nakuta hayupo na simu hapatikani

Muda huo tayar nishagombana na ndugu zangu kuhusu kusikiliza upande mmoja

Hili lilienda sanjar na kwa wazazi wake

Kuwapanga vya uongo

Siku amerudi kafikia kwa jirani yangu na sio nyumban

Sikuona haja ya kumfatilia nikajua tayar huyu sio wangu

Huku na huki akatorosha watoto kupeleka kwao ngara huko

Karudi kafungua kesi

Leo imesomwa nikasomewa mashtaka

Dai lake

Sihudumii familia

Nimemfukuza

Namnyanyasa

Haya yote nikayakataa kwakuwa sio kweli

Kibaya sana nyuma yake kuna kundi la watu wanamjaza sana upepo hakim amemtaka jumatano afike na mashahid wake

Lengo au hitaji lake ni taraka na mgawanyo wa mali

Nimelia sana wiki hii mpaka basi kila nikiwaza lakini

Sijui mwisho wangu

Na isitoshe kwa sasa pia uchumi wangu umeshake kwa kiasi flani

Nasunir kuwaona mashahid siku husika

Sijajua nini kitatokea

Ila mungu asimame kwenye haki

Naichukia sana ndo kwa kweli

Japo sikuwahi funga naye kupata chet ila zile kimila tu manake mpaka mali nilitoa

Nakataa ndoa

Nakataa ndoa

Nakataa ndoa

Asanteni
Sasa mali gani bila ndoa mkuu? Nyie hamjafunga ndoa, huyo mama muachie kila kitu anza upya wewe ni mwanaume na umesema ana watoto wako...... achana na mambo ya mahakama utapoteza muda na mwisho ulogwe mpe icho anachotaka anza upya ila lea wanao” sisi wababa tunapitia mengi ila nilishamwambia mke wangu siku tumeahindwana sibebi kitu na sitaki chochote namuachia kila kitu.... mimi siwezi enda mahakamani nikadai mali yangu mwenyewe
 
Huyo keshapata boda boda anamdanganya,hauna haja ya kuulazimisha moyo wake,we keep distance mwache aende na maisha aliyoyachagua.
Mungu kakupa maisha magumu kwa muda ili umjue mwenzio alivyo ushaonyeshwa kaa mbali hauna hatia juu ya hili.
 
Mwanaume akichoma mali na mkewe akifanikiwa anamkimbia anaenda oa mwingine,mwanamke nae ukifilisika ukiyumba uchumi yeye ana kipato ni lazima akuache asipokuacha atakunyanyasa sana na dharau ndani ya nyumba.
Dunia uwanja wa Fujo.
 
We mwanamke upo, umeadimika kweli. Aisee kwanza umemshauri na kumtia moyo. Asilazimishe huyo mwanamke kubaki, akubali ni anguko aanze upya. Kilicho chako huwa kinarudi haijalish ni wakati gani
Nipo nitaenda wapi mie, salama humu? mambo tu mengi kuchungulia huku kila siku isha kuwa ngumu, all in all jf is our home
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom