Nahitaji joho la kukodisha

Nahitaji joho la kukodisha

Shebby Pallah

Member
Joined
May 1, 2017
Posts
29
Reaction score
18
Tafadhali rejea kichwa cha habari mim n muhitimu wa chuo kikuu mahafali ya chuo yameshapita but familia inahitaji kufanya sherehe ya mahafali kam kuna mtu anakodisha majoho kwa wahitimu wa chuo kikuu naomba tuwasiliane

0788458460
 
mimi mwenyewe nilikuwa na situation kama yako ila leo nimegongea picha ya joho kwenye mahafari husika
 
Mie ninalo ila mimi niko Dar joho lipo Dodoma. Sa sijui tunafanyaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom