English Learner
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 368
- 471
umeoa weye?huyo mtoto mchanga ni wa nani yako?
Ndugu yangu kama ana elimu ya chuo na ameyakubali yote hayo kwa mshahara wa 175,000 unamhitaji? ana uwezo wa kufanya kazi kwa mwaka 1 tu.-nimeulizwa!
Nimeolewa na Mtoto ni wa kwangu
Anaweza kufanya kazi za ndani?
Wana-JF naombeni msaada wenu,
Nahitaji Dada wa Ndani kwa shughuli za kawaida za nyumbani kama usafi (nyumba, vyombo, nguo, uwanja), kupika, n.k Atafanya kazi katika familia ya watu wanne na mtoto mchanga mmoja (miezi miwili) iliyopo Ilala Dar es Salaam.
Sifa za Dada wa Ndani:
- Awe msafi wa mwili na apende usafi wa nyumba, vyombo na mazingira
- Awe na upendo kwa watoto, watu wazima na wageni
- Asiwe amehitimu mwaka huu na mpango wake wa kuendelea na masomo usiwe unaangukia mwaka 2013
- Awe mshika maadili ya Kiafrika na mcha Mungu.
- Asiwe mjamzito
- Ajue kutumia simu lakini asije na simu yake ya mkononi
Mawasiliano:
E-mail: English.learner@gmail.com
Mob: 0659-851-821
Asanteni kwa wote mtakaonisaidia kufanikiwa katika hitaji langu.
Babake huyo mtoto yuko wapi?
Kwa mshahara huo itabidi afanye na kazi zingine ambazo hazijawa specified hapo...Merry Christmas!.Ndugu yangu kama ana elimu ya chuo na ameyakubali yote hayo kwa mshahara wa 175,000 unamhitaji? ana uwezo wa kufanya kazi kwa mwaka 1 tu.-nimeulizwa!
Wana-JF naombeni msaada wenu,
Nahitaji Dada wa Ndani kwa shughuli za kawaida za nyumbani kama usafi (nyumba, vyombo, nguo, uwanja), kupika, n.k Atafanya kazi katika familia ya watu wanne na mtoto mchanga mmoja (miezi miwili) iliyopo Ilala Dar es Salaam.
Sifa za Dada wa Ndani:
- Awe msafi wa mwili na apende usafi wa nyumba, vyombo na mazingira
- Awe na upendo kwa watoto, watu wazima na wageni
- Asiwe amehitimu mwaka huu na mpango wake wa kuendelea na masomo usiwe unaangukia mwaka 2013
- Awe mshika maadili ya Kiafrika na mcha Mungu.
- Asiwe mjamzito
- Ajue kutumia simu lakini asije na simu yake ya mkononi
Mawasiliano:
E-mail: English.learner@gmail.com
Mob: 0659-851-821
Asanteni kwa wote mtakaonisaidia kufanikiwa katika hitaji langu.
Baba wa Mtoto ni mimi,
Ulikua unasemaje kwani??
Kwanini asiweze?kwani house girls wana education level zao?