Nahitaji helment ya kuendeshea baiskel

Nahitaji helment ya kuendeshea baiskel

kunako

Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
44
Reaction score
18
Habarin za usiku rejea kichwa cha habar hapo juu nahitaji helment ya kuendeshea baiskeli au naweza kuoata wapi vifaa vya kuendeshea baiskel kama helment ,gloves miwan na vinginevyo nimejaribu kwenda tandika na hata karume wanapouza baiskel za mitumba sijapata aksanten nawasilisha
 
Vifaa hivyo huku Tandahimba vipo kwa wingi ije kuwa Dar unasaka na tochi? Uko serious kweli, unaogopa kwenda Kariakoo?
 
Vifaa hivyo huku Tandahimba vipo kwa wingi ije kuwa Dar unasaka na tochi? Uko serious kweli, unaogopa kwenda Kariakoo?
Ndo maana nikataja maeneo niliyoenda ,tandika na karume ndo sehemu nilizoenda na hakuna helment na ndo sehemu wanaposhusha baiskel za mtumba ,kama ni kariakoo nielekeze tafdhali
 
Tuma nikununulie huku nikutumie huko Dar.
Ndo maana nikataja maeneo niliyoenda ,tandika na karume ndo sehemu nilizoenda na hakuna helment na ndo sehemu wanaposhusha baiskel za mtumba ,kama ni kariakoo nielekeze tafdhali
 
Nenda kariakoo ulizia kwa faiz, ukishaonyeshwa duka la faiz, angalia maduka yaliyopo jirani na yeye,
 
Faiz anauza vifaa vya pikipiki pia ni upande wa huku shule ya uhuru usiende kule sokoni
 
Back
Top Bottom