kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,244
Miaka sita iliyopita nilifika goba. Kwa kweli palikuwa nyuma sana. Ila kwa sasa nipo hapa goba, mda huu wa saa mbili kasoro usiku, kwa kweli pamekucha.
Hapa kuna barabara nne muhimu. Moja inaelekea makongo juu ambayo ina magari mengi. ya pili inaelekea mbezi beach tangi bovu. ya tatu inaelekea madale, wazo mpaka Tegeta, ya nne inaelekea Mbezi luisi. Nakutonya tu mjasiria mali.
Wahi ufanye survey uwekeze mapema kabla mambo hayajawa makubwa zaidi kwani barabara ya lami ipo karibu kujegwa.
Goba ipo juu kijeografia, hali ya hewa ni nzuri kiama.
Pia kwa wanao hitaji viwanja wawahi kwani ardhi haiozi 20x20 sehemu ya mabondeni utaweza bahatika kwa milioni 6 mpaka 8. Sehemu zenye ubora inaanza milioni 15 kwenda juu.