duu hutaki gharama ya kusafiri safiri, tafuta hata wa mbali umhamishie huko kaka.wa hapo wote wana wenyewenawasalimu wana jf wote.nahitaji girlfriend ambaye badae tunaweza kuwa mke na mume.vigezo awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea,awe anaishi arusha au moshi.sichagui dini wala kabila.mimi ninaelimu ya chuo kikuu.interested ani pm.
Hivi kwanini mtu utafute mke kwa kutumia matangazo? Unashindwa kabisa kujitafutia mwenyewe mtaani kwenu, shuleni, kazini na maeneo ya mikusanyiko?
Hili bandiko lingekuwa la mdada ningeelewa cuz wengi wanakuwa overlooked!