MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
Habari zenu wadau
Kama nilivyojieleza hapo juu kuwa nahitaji SILENT GENERATOR KV 15 au 20.
Liwe made in Japan au Europe...na lisiwe limetumika sana.
Najuwa kuna baadhi ya makampuni kama ATLAS na CAT (nyerere road) yanapatikana haya magenerator
Lakini huko yanauzwa bei ghali sana tena kwa dola...ndiyo maana nimekuja hapa nyumbani JF ili kutafuta unafuu.
Mwenye detail zozote naomba ani PM ili tufanye biashara