Nahitaji Gari

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,184
259
Wakuu habari za jioni,

Nahitaji gari ya kutembelea yenye fuel consumption nzuri pamoja na durability and should be Sedan!

Nimeshauriwa kununua Toyota Carina au Corolla Sedan

Kuna tofauti kubwa ya fuel consuption kati ya cc 1500 na cc 1760!? both unweza kwenda umbali gani kwa lita moja at a speed ya 80-100km/h?

Bajeti yangu ni 7.5m

Kuna wadau walinishauri kuwa makuni na befoward kuwa naweza kulia kuletewa gari bovu kwa kuwa hata kwenye picha zao zoko faint na pia ziko chache sana hivyo huwezi kuwa na nafasi ya kulikagua gari lako viziri kabla hujanunua.

Msaada kwa kuwa sina uzoefu sana na magari!

Asanteni
 
Nimeagiza gari aina ya nadia miezi 5 iliyopita ni nzuri sana .kama ungelipenda ningekuuzia kwa milioni 9 mimi nimepata chuo nje ya nchi ninaenda kusoma hivyo naiuza
 
chukua carina tu haitakuumiza though yote ni magari mazuri

asate sana mkuu vipi una ufahamu wowte kuhusu befoward!?

do u think pia nweza kupata gari nzuri kwa bajeti hiyo?
 
Nimeagiza gari aina ya nadia miezi 5 iliyopita ni nzuri sana .kama ungelipenda ningekuuzia kwa milioni 9 mimi nimepata chuo nje ya nchi ninaenda kusoma hivyo naiuza

Mkuu Nashukuru kwa ofer, nasikia nadia hayako vzuri kwa consuption ya fuel pia hayako strong
 
Nashukuru sana kwa comments wakuu, kuna yeyoye mwenye additional comments kuhusu conspution ya fuel kati ya 1.5 na 1.76
 
Kama ishu ni mafuta nakushauri uchukue Toyota Passo mkuu, utasevu hela huku unawekeza!! Na bei ni hio hio uliotaja kwa mpya.

Kama utapenda hii karibu tufanye biashara ni 1.3cc na ya mwaka 2005.
0716398757.

Wakuu habari za jioni,

Nahitaji gari ya kutembelea yenye fuel consumption nzuri pamoja na durability and should be Sedan!

Nimeshauriwa kununua Toyota Carina au Corolla Sedan

Kuna tofauti kubwa ya fuel consuption kati ya cc 1500 na cc 1760!? both unweza kwenda umbali gani kwa lita moja at a speed ya 80-100km/h?

Bajeti yangu ni 7.5m

Kuna wadau walinishauri kuwa makuni na befoward kuwa naweza kulia kuletewa gari bovu kwa kuwa hata kwenye picha zao zoko faint na pia ziko chache sana hivyo huwezi kuwa na nafasi ya kulikagua gari lako viziri kabla hujanunua.

Msaada kwa kuwa sina uzoefu sana na magari!

Asanteni
 
Attachments

  • 1392552896065.jpg
    1392552896065.jpg
    64.2 KB · Views: 281
  • 1392552978645.jpg
    1392552978645.jpg
    57 KB · Views: 266
  • 1392553043801.jpg
    1392553043801.jpg
    57.1 KB · Views: 258
mdau naongelea uimara huwezi ukalinganisaha na corola na carina hata kama utunzaji

me nadhani ni matunzo. Lakin kwa kujali matumizi ya mafuta na bajaji yako. chukua passo kuiona ni ndogo sana basi. carina Ti will save u better.
 
Kama ishu ni mafuta nakushauri uchukue Toyota Passo mkuu, utasevu hela huku unawekeza!! Na bei ni hio hio uliotaja kwa mpya.

Kama utapenda hii karibu tufanye biashara ni 1.3cc na ya mwaka 2005.
0716398757.

Mkuu nashukuru sana kwa offer lakn kwa kweli nataka Carina! barikiwa
 
Kuna tofauti kubwa ya fuel consuption kati ya cc 1500 na cc 1760!? both unweza kwenda umbali gani kwa lita moja at a speed ya 80-100km/h?
 
Kuna tofauti kubwa ya fuel consuption kati ya cc 1500 na cc 1760!? both unweza kwenda umbali gani kwa lita moja at a speed ya 80-100km/h?

Kwa spidi izo naamini utakua katika "open road" tofauti
matumizi ya mafuta ni ndogo sana ingawa ukiwa spidi. zaidi ya 130, 5A inavuma sana na ni uncomfortable, ili uweze kumaintain spidi utaendesha ktk higher rpm than 7A and that's inturn means more fuel for 5A that end up matching 7A consumption.
 
Mkuu asnate sana kwa info, but look here, I am not veru familia with car terminologies! I assume that 5A is 1.5 and 7A is 1.8l

But my question was, how many km with one litre fuel to both at a speed of 80-100km/h
 
upo sawa, 1.8 L (1762 cc) 7A-FE na 1.5 L (1498 cc) 5A-FE,
inategemea na ubora wa gari by the time umepata. nilikua na premio 7A ya mwaka 1996 na nikisafiri nayo naenda 13 km kwa 1 lita. wakati nikitumia carina yenye 5A ya mwaka 2001 ninatumia 1 lita kwa 12km.
na kwa hapa dar premio ni 10km per litre na carina ni. 9km per litre
 
Nimeagiza gari aina ya nadia miezi 5 iliyopita ni nzuri sana .kama ungelipenda ningekuuzia kwa milioni 9 mimi nimepata chuo nje ya nchi ninaenda kusoma hivyo naiuza
Hii Nadia ni ipi ile yenye engine ya 3S-FE model SU au ni zile zenye engine ya D-4?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom