Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,928
Nina Premio nzuri sana. Just pm me
Bei yake,,,,,,,ungeweka na picha basi...
Nina Premio nzuri sana. Just pm me

Wakuu habari za jioni,
Nahitaji gari ya kutembelea yenye fuel consumption nzuri pamoja na durability and should be Sedan!
Nimeshauriwa kununua Toyota Carina au Corolla Sedan
Kuna tofauti kubwa ya fuel consuption kati ya cc 1500 na cc 1760!? both unweza kwenda umbali gani kwa lita moja at a speed ya 80-100km/h?
Bajeti yangu ni 7.5m
Kuna wadau walinishauri kuwa makuni na befoward kuwa naweza kulia kuletewa gari bovu kwa kuwa hata kwenye picha zao zoko faint na pia ziko chache sana hivyo huwezi kuwa na nafasi ya kulikagua gari lako viziri kabla hujanunua.
Msaada kwa kuwa sina uzoefu sana na magari!
Asanteni
kama bado hujapata hilo gari nipm
mm ninaagiza magari toka japan hivyo twaweza fanya biashra nikakuagizia gari na kuleta mpaka bandarini kisha wewe ukaja kulichukua hila lazima utalipia charge zate za TRA, CHARGE ZA BANDARINI BIMA, IMPORT AGENCY na mengineyo hebu cheki gari aina ya toyota corolla sedan hili hapa la 1500cc
View attachment 139805 View attachment 139806 View attachment 139807
View attachment 139808 View attachment 139808 View attachment 139809
Mkuu naamini unanamba yangu nitwangie nikupe maujanja!Nashukuru sana kwa comments wakuu, kuna yeyoye mwenye additional comments kuhusu conspution ya fuel kati ya 1.5 na 1.76