Amaizing Mimi
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 477
- 1,065
Bila shaka mpo salama.
Nipo mkoani na nahitaji kwa bajet tajwa hapo juu, aina ya gari iwe Corola, Carina, Cresta na zingine zenye muundo huo. Kwa mwenye nalo ani pm.
NB: Wakosoaji endeleeni kukosoa, kuhusu kipato siku nikikosa hela ya service nitaipaki.
NINACHOTAKA GARI.