Nahitaji gari

Nahitaji gari

Lina uchakavu..so andaa 4.5ml ungeweka chasis namba tungejua vizuri zaidi maana ingetupa information zaidi

Thanks bro, kwa hali ilivyo nafikiri nitaagiza tu na muda huo nitakutumia chasis namba ujaribu kunikadiria gharama halisi ...
 
Je unataka kununua gari lolote used
basi usihangaike kutafuta gari
wasiliana na Agent. wetu
atakutafutia gari lolote lile kwa bei
nafuu
Contacts za huyu Agent ni 0689341445
 
Nna ka Toyota Premio kazuri ila nataka 6.5m...kama uko interested ni PM.
Hiyo premio ni ya mwaka gani mkuu? reg namba zake na imetembea km ngapi, tafadhali nitumie mawasiliano yako na picha za gari inbox
 
tutanunua tuuuuuuuuuuuuuu, tena ijumaa mm wa kwanza kwenda hapo maana naona roho zinawauma hamtaki maskini tuendeshe.......tutapangana wote kwenye foleni dsm ww na hama yako mm vitz yangu lakini twatembelea ------

Ha ha haaaaa!!Vijana wa mjini wanasema tutabanana tu hapa hapa mjini.
 
Makalio aka Masaburi!...
tutanunua tuuuuuuuuuuuuuu, tena ijumaa mm wa kwanza kwenda hapo maana naona roho zinawauma hamtaki maskini tuendeshe.......tutapangana wote kwenye foleni dsm ww na hama yako mm vitz yangu lakini twatembelea ------
 
images
images
images

kuna mhindi mmja hapa mjini DSM anauza hili gari 8m,cc 2000,AUZ,4WD,NI YA 2007 RANGI YA DAMU YA MZEE,
4-CYLINDER sijajua limetembeza km ngapi atalileta badae ntakuambia na ntaweka picha halisi ila haijatumika sana si unajua wenzetu wahindi wanazunguka hapa hapa city centre akitoka sana amekwenda bagamoyo au sea cliff
 
Jamani me ni bibie lo!but never mind we ukifisha hiyo pesa nitafute nakuletea gari hadi mlangoni bila chai wala nini.kama upo dar mikoani kwa garama zako
Bibie jitahidi basi uweke japo avatar watu wakosome, ona sasa unaitwa jibaba kumbe utamu wa dunia.
 
images
images
images

kuna mhindi mmja hapa mjini DSM anauza hili gari 8m,cc 2000,AUZ,4WD,NI YA 2007 RANGI YA DAMU YA MZEE,
4-CYLINDER sijajua limetembeza km ngapi atalileta badae ntakuambia na ntaweka picha halisi ila haijatumika sana si unajua wenzetu wahindi wanazunguka hapa hapa city centre akitoka sana amekwenda bagamoyo au sea cliff
Nivea please kama upo siriasi na kama hilo dili lipo ikiwa tayari ni-pm namba ya huyo mhindi naitaka hiyo gari.
 
Wakuu nimezichanga mpaka zimefika milioni sita je naweza kupata gari aina gani kwa hiki kipesa changu?naomba wataalamu wa magari mnisaidie ushauri
Hongera mkuu karibu barabarani.

Nakushauri usiwe na haraka tulia nenda taratibu utapata kitu cha nguvu mpaka mwenyewe hutaamini. Kikubwa expose ishu yako ili wadau wengi wakuletee halafu kuwa karibu na fundi wako kwa kuli-test kabla ya kulipa.
 
Nivea please kama upo siriasi na kama hilo dili lipo ikiwa tayari ni-pm namba ya huyo mhindi naitaka hiyo gari.
nafikiri kama upo hapa city centre nenda na wewe kaicheki itakuwa vizuri sana ,kwani wewe uko wap?
 
Ungenipa direction ninaweza kumuagiza mtu wangu aje kuliona.

grafani11 has chosen not to receive private messages or may not be allowed to receive private messages. Therefore you may not send your message to him/her.

If you are trying to send this message to multiple recipients, remove grafani11 from the recipient list and send the message again.

nikikupm napata huo ujumbe!!!
nakupa namba ya huyu office met wangu ambaye mimi ndio alikuja nambia ,wasiliana naye mtume mtu akaliangalie akupe taarifa sahihi then utanijulisha.yeye aliiona akaisifia sana,haya
 
Ooh sorry ngoja niangalie setting zangu.
 
Back
Top Bottom