Sahamani dada jeneneke, mimi ninahitaji truck Toyota Toyoace ya 2005 iwe na km 50,000 au pungufu, manual, cc 1900 au chini ya hapo, tani 1.5 utanicharge kiasi gani mpaka niipate?Jamani me ni bibie lo!but never mind we ukifisha hiyo pesa nitafute nakuletea gari hadi mlangoni bila chai wala nini.kama upo dar mikoani kwa garama zako
Jan japan 0778099899
Jan japan 0778099899
japan natumia namba hii +818048906644Mr. Zeeshan
Jamani me ni bibie lo!but never mind we ukifisha hiyo pesa nitafute nakuletea gari hadi mlangoni bila chai wala nini.kama upo dar mikoani kwa garama zako
Mpenzi, ndio ujasiriamali umeanza kimya kimya hata mmeo sijui?
Waooo!nimefurahi kukuona hapa ulipotelea wapi dady?Shauri zako utaibiwia.mwenzangu imebidi niongeze mambo ya kusubiri siku 30 ulipwe mshahara ambao hata chinga anaingiza within two days yananishinda.Naona Baba V yuko makini hadi amekulta cjui ulikuwa wapi yarabi
Sahamani dada jeneneke, mimi ninahitaji truck Toyota Toyoace ya 2005 iwe na km 50,000 au pungufu, manual, cc 1900 au chini ya hapo, tani 1.5 utanicharge kiasi gani mpaka niipate?[/QUOe TE]
Give time georgeallen ntakujibu ila ukitaka canter right now ninayo in good condition
Wakuu nimezichanga mpaka zimefika milioni sita je naweza kupata gari aina gani kwa hiki kipesa changu?naomba wataalamu wa magari mnisaidie ushauri
Nna ka Toyota Premio kazuri ila nataka 6.5m...kama uko interested ni PM.
ina cc ngapi? hebu weka attributes/properties zake niisawiriSahamani dada jeneneke, mimi ninahitaji truck Toyota Toyoace ya 2005 iwe na km 50,000 au pungufu, manual, cc 1900 au chini ya hapo, tani 1.5 utanicharge kiasi gani mpaka niipate?[/QUOe TE]
Give time georgeallen ntakujibu ila ukitaka canter right now ninayo in good condition