mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 959
karibu sana
Jeneneke nitafutie Hiace new model, niko Arusha, niandae kiasi gani?
karibu sana
Yap kwa hela hiyo gari hawezi pata tuongee ukweli,kwa hyo hela bora utafute bajaji maana madalali watamletea mshipa mchuzi juuu tank kidumu cha lita tano rangi imepigwa ya kwenye nyumba.
jamani monday na nilipata habari kuna mjapani kafungua yad kwenye uwanja wa sukita (tabata matumbi) na kuna gari nyingi balaaa. bei yake sasa ndo utachoka. kwa kuziangalia utadhani hazina kodi, ila yeye anakuambia ishalipiwa kila kitu bandika insurance usepe. ukitaka kuhakiki, tra wapo hapo hapo
noah 8m ya 99
vits 4 to 5m za 98 ad 2000
ist 6 to 7m za 2002
mazda demio 3.5m ya 2003
corolla 6m
carina 7 to 8m haijalishi si au ti ila za 96 ad 98
jamaa wa yad za magomen ndio wakawa wananunua ad gari kumi na kuhamishia kwenye maduka yao.
kwa anaetaka kwenda,
ukitokea buguruni kwenda ubungo, exit ya mwisho kuingia kulia kabla ya daraja la matumbi
ukitokea ubungo na baada ya kuvuka daraja la matumbi, ingia exit ya pili mkono wa kushoto. nenda ad nyuma kbs kuna mnara wa simu
Mbona wajiita jeneneke jamani???sorry
Wakuu nimezichanga mpaka zimefika milioni sita je naweza kupata gari aina gani kwa hiki kipesa changu?naomba wataalamu wa magari mnisaidie ushauri

Ungekua na 7 ungepata nisan march mpya
Mkuu pia kama unaweza kutuchekia mawasiliano yao (hata kusoma kwenye bango lao) emails namba za simu za huyo Mjapani mbona tutashukuru sana!
Heshima kwako.
Wakuu nimezichanga mpaka zimefika milioni sita je naweza kupata gari aina gani kwa hiki kipesa changu?naomba wataalamu wa magari mnisaidie ushauri
jamani monday na nilipata habari kuna mjapani kafungua yad kwenye uwanja wa sukita (tabata matumbi) na kuna gari nyingi balaaa. bei yake sasa ndo utachoka. kwa kuziangalia utadhani hazina kodi, ila yeye anakuambia ishalipiwa kila kitu bandika insurance usepe. ukitaka kuhakiki, tra wapo hapo hapo
noah 8m ya 99
vits 4 to 5m za 98 ad 2000
ist 6 to 7m za 2002
mazda demio 3.5m ya 2003
corolla 6m
carina 7 to 8m haijalishi si au ti ila za 96 ad 98
jamaa wa yad za magomen ndio wakawa wananunua ad gari kumi na kuhamishia kwenye maduka yao.
kwa anaetaka kwenda,
ukitokea buguruni kwenda ubungo, exit ya mwisho kuingia kulia kabla ya daraja la matumbi
ukitokea ubungo na baada ya kuvuka daraja la matumbi, ingia exit ya pili mkono wa kushoto. nenda ad nyuma kbs kuna mnara wa simu
nipe definition ya 'gari' kabla hujakurupuka kujibu kama Mwiguluameshakwambia anataka gari, hiyo bajaj nunua wewe!!
Thanx a thousand times!
anaitwa Jan?
Asije akawa ameiba Japan wakaja lnterpool kutupa shida hapa