tutanunua tuuuuuuuuuuuuuu, tena ijumaa mm wa kwanza kwenda hapo maana naona roho zinawauma hamtaki maskini tuendeshe.......tutapangana wote kwenye foleni dsm ww na hama yako mm vitz yangu lakini twatembelea ------
Bibie jitahidi basi uweke japo avatar watu wakosome, ona sasa unaitwa jibaba kumbe utamu wa dunia.
Wakuu nimezichanga mpaka zimefika milioni sita je naweza kupata gari aina gani kwa hiki kipesa changu?naomba wataalamu wa magari mnisaidie ushauri
dah kuna jamaa ameishaichukua anailipia jioni leo sorryOoh sorry ngoja niangalie setting zangu.
dah kuna jamaa ameishaichukua anailipia jioni leo sorry
![]()
![]()
![]()
kuna mhindi mmja hapa mjini DSM anauza hili gari 8m,cc 2000,AUZ,4WD,NI YA 2007 RANGI YA DAMU YA MZEE,
4-CYLINDER sijajua limetembeza km ngapi atalileta badae ntakuambia na ntaweka picha halisi ila haijatumika sana si unajua wenzetu wahindi wanazunguka hapa hapa city centre akitoka sana amekwenda bagamoyo au sea cliff
dah kuna jamaa ameishaichukua anailipia jioni leo sorry
hizo ndio akili ndogo gari ipo ,wewe umekaririr watu wanauzia magari shida huyu mhindi amenunua harrier ,akaamua kuliuza na amekaa nalo kama 3yrs usikariri mkuunilikuwa nafuatilia mabandiko yenu nilihisi mwisho wake utakuwa hivi. Hilo gari kwa 8M mtu anakupa zawadi wala hakuuzii.
Mkuu msamehe tu, unajua watu wanaovamia jiji kwa pupa hununua kitu bei juu ili wajisifu wakati watoto wa mjini tumenunua Range Rover kwa staili hiyo hiyo na kwa bei ambayo wakuja na hela yake ya mazao hataamini.hizo ndio akili ndogo gari ipo ,wewe umekaririr watu wanauzia magari shida huyu mhindi amenunua harrier ,akaamua kuliuza na amekaa nalo kama 3yrs usikariri mkuu
Wakuu nimezichanga mpaka zimefika milioni sita je naweza kupata gari aina gani kwa hiki kipesa changu?naomba wataalamu wa magari mnisaidie ushauri
Kama una Tsh 8 milioni ni pm nikupatie Toyota GX 100
hizo ndio akili ndogo gari ipo ,wewe umekaririr watu wanauzia magari shida huyu mhindi amenunua harrier ,akaamua kuliuza na amekaa nalo kama 3yrs usikariri mkuu
Wakuu nimezichanga mpaka zimefika milioni sita je naweza kupata gari aina gani kwa hiki kipesa changu?naomba wataalamu wa magari mnisaidie ushauri
Kama unaweza kuzichanga mpaka 8m, Nipm nikupe gari ya uhakika (Nimeitumia miezi sita).Wakuu nimezichanga mpaka zimefika milioni sita je naweza kupata gari aina gani kwa hiki kipesa changu?naomba wataalamu wa magari mnisaidie ushauri