Nahitaji gari

Nahitaji gari

Agiza Mazda demio toka japan utaipata kiulaini kabisa kwa hela hiyo.
 
sasa hivi kila gari ushuru ni almost milioni nne so far magari ya bei ya chini standard mostly ni$2,200ambayo ni kama milioni 4 na point so far jitahidi upate milioni 2 ifike nane unawezakuwa na uhakika wa kupata gari zuri from japan
 
sasa hivi kila gari ushuru ni almost milioni nne so far magari ya bei ya chini standard mostly ni$2,200ambayo ni kama milioni 4 na point so far jitahidi upate milioni 2 ifike nane unawezakuwa na uhakika wa
kupata gari zuri from japan
Ata mimi nilitaka kukushauri kama huyu bwana jeneneke...ushuru na gharama za bandari..pamoja na clearing agent na chai kidogo ya mkaguzi pale bandarini ni kuanzia 3.6ml na kuendelea hivyo ongeza kidogo..
 
Jamani me ni bibie lo!but never mind we ukifisha hiyo pesa nitafute nakuletea gari hadi mlangoni bila chai wala nini.kama upo dar mikoani kwa garama zako
 
Ni kiasi gani cha chini kabisa nahitaji kuandaa, kuagiza TOYOTA CAMI 2000, KM chini ya 90,000 ya USD 3,500 .... kwa anayeza kunisaidia kukadiria gharama halisi isipokua BIMA tu!Msaada pia tafadhali ...
 
mmmh!nitakutafuta!
 
jeneneke
 
Last edited by a moderator:
Ni kiasi gani cha chini kabisa nahitaji kuandaa, kuagiza TOYOTA CAMI 2000, KM chini ya 90,000 ya USD 3,500 .... kwa anayeza kunisaidia kukadiria gharama halisi isipokua BIMA tu!Msaada pia tafadhali ...
Lina uchakavu..so andaa 4.5ml ungeweka chasis namba tungejua vizuri zaidi maana ingetupa information zaidi
 
aisss!una maanisha baiskel au pikipiki ndo usafiri na ndio anayoweza kupata kwa hiyo hela!!

Yap kwa hela hiyo gari hawezi pata tuongee ukweli,kwa hyo hela bora utafute bajaji maana madalali watamletea mshipa mchuzi juuu tank kidumu cha lita tano rangi imepigwa ya kwenye nyumba.
 
Dah watu wa bandarini kwa kuomba chai hawajambo,siku wakianza kutuomba supu si tutafilisika?
 
Back
Top Bottom