Natafuta gari kwa ajili ya Uber na Bolt

Hassanmanz

Member
Dec 31, 2020
16
10
Habari,

Wadau Kwa majina naitwa Hassan Mohamed naishi Yombo Vituka, temeke ninatafuta gari ya hesabu au mkataba ya Uber na Bolt Kwa yeyote mwenye uhitaji na dereva nipo tayari muda na saa yeyote napatikana Kwa nambari za simu zifuatazo: 0782639687
 
Habari!

Nami natafuta Bajaji ya kufanyia kazi. Nipo tayari kwa mkataba au kawaida kuleta hesabu kwa siku. Nina uzoefu pamoja na uaminifu wa hali juu.

Nina Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA)
Namba: 0674074563
Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa Dar es Salaam.
Nipo Dar es Salaam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom