Nahitaji gari kwa mil 4 cash

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,845
2,245
Habari wakuu,

Nahitaji gari aina ya mark ii grande(gx 100) iwe nzuri rangi original sio ya kupaka uswahilini na iwe haijawai kupata ajali na isiwe na mchubuko wowote.Au kama kuna aina nyingine nzuri mwenye nayo anishtue.

Kampeni njema
 
Are you serious???
Mil 4 gx100 mpya?? Ukipata nitonye na mimi

Sijasema mpya au hujaelewa.
Kama hujaelewa sio lazima utoe wazo lako.
Thread zingine muwe mnapita tu sio kila kitu unataka uchangie.
Weka mbali na watoto.
 
Wapo wenye magari nyie tulieni wanakuja.Nyinyi inaonekana ni watembea kwa miguu.
Acheni kuharibu biashara za watu.
Tulieni gx100 hata mil 3 napata maana ni gari za masikini kama mimi.
 
Nakushauri nunua PASSO kwa bajeti yako unapata mpya na chenji kibao inabaki. Ila epuka kukanyaga kinyesi cha ng'ombe. utakaa!
 
Mpwa nakushauri kwa hio pesa yako upate Duet au ingia Zoom Tanzania, Tupatane.com na wengine.

Wasiwasi wangu ni kwamba atakayekuuzia hio gari muombe na namba za mafundi! Ongeza kidogo hio pesa utafute Passo kwa 6m utapata hadi namba D hutasumbuka sana. Naongea kama Rafiki
 
Nashukuru kwa ushauri mzuri ndugu
 
Habari wakuu,

Nahitaji gari aina ya mark ii grande(gx 100) iwe nzuri rangi original sio ya kupaka uswahilini na iwe haijawai kupata ajali na isiwe na mchubuko wowote.Au kama kuna aina nyingine nzuri mwenye nayo anishtue.

Kampeni njema

Ninayo niko dar.haina historia ya ajali.naitumia kwa matumiz bnafs.na naiuza kwa 4. Ni mark 2 grande ni vvti engine,ni pm namba yako nikutumie pcha nyng kwenye watsapp.ahsante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom