Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,489
- 40,507
Mtashea gharama ya nauli, pia gharama si kubwa itategemea na ukubwa wa jengo
Mtashea gharama ya nauli, pia gharama si kubwa itategemea na ukubwa wa jengo
Maboma tayari,mapaa kama haya hapa chini mnaweza ezeka? Nionyeshe ushahidi kwa pichaWasiliana nasi UVIMO CIVIL GROUP
Tutakufanyia kazi nadhifu sana,
Pia tutakuonyesha kazi zetu za video, na zingine tumefanya hapohapo bunju maeneo ya mingoi.
0629361896 -Kupiga
0753927572 -WhatsApp
Kazi inachukua siku chache, kambi inawekwa site hata kama mvua inanyesha Uvimo tutaondoka site baada ya kazi.
View attachment 2086082View attachment 2086084View attachment 2086083View attachment 2086085
Mkuu habari,ukipata fundi mzuri anaeezeka naimani kazi inayofuata ni magrili, fundi mzuri nipo hapa kaka.kama mada ilivyo,
Ninaitaji fundi mzuri wa kuezeka nipo Dar Bunju kama yupo humu nicheck PM tuyajenge
Kuna fundi mmoja aliniezekea jengo langu, kitu kizuri kimesimama; kama utahitaji No. nitakupatia, anatokea Morogoro. popote pale anafika kwa makubaliano. Jitahidi kofia na zile valley wakutengenezee kiwandani
Yupo vizuri Sana Kwa kweli nimekua nikimtumia mara nyingi hajawahi kuniangusha.Huyu fundi Ima na mimi nimepanga aje kunipaulia mjengo wangu namuelewa sana
Hyu bei zake zikoje mkuu?
InategemeaHyu bei zake zikoje mkuu?
Cheki UNYAMAA huo..View attachment 2086065
Mkuu tupe Feedback! Vipi umekamilisha kazi yako au bado? Na kama bado vipi bado unahitaji mafundi?kama mada ilivyo,
Ninaitaji fundi mzuri wa kuezeka nipo Dar Bunju kama yupo humu nicheck PM tuyajenge
Huu sio unyama ni upuuzi😅Cheki UNYAMAA huo..View attachment 2086065