Nahitaji Fundi Mzuri wa Paving Blocks

Ramthods

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
515
186
Wadau,

Nahitaji fundi mzuri wa kupanga paving blocks. Mafundi nawaona wengi mtaani, ila ntashukuru nikipata reference toka kwa mtu ambae amefanyiwa kazi nzuri.

Nyumba ipo Tangi Bovu, Mbez Beach, Dar

Natanguliza shukran

Ram
 
Wasiliana na fundi huyu, kazi zake nazikubali ni miongoni walioshiriki kuipendezesha Mlimani City, na sehemu nyingi sana za uhakika, 0713 513554
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom