Nahitaji Faraja Moyo wangu Unateketea.

Nahitaji Faraja Moyo wangu Unateketea.

Mhhh pole but hakuna mahusiano yaliyo fanikiwa bila kupitia ups and downs ni swala la mda tu ajira zipo mda ukifika utaajiriwa kikubwa mvumilie tu mwoneshe upendo wa kweli mjali Mambo yataenda vzuri tu..... Happy nyu year in advance
 
Pole sana mkuu, sijui unataka dalili gani nyingine ya kukuonyesha kuwa hapo ulipo sipo!!!
Mapenzi ya dhati ukiwa hauna kitu yamebakia kuwa historia tu, and hope unalielewa hilo.

Hivi mtu alokunyanyasa kiasi hicho bado unafikiria kumvisha pete!! Okey unataka umuoe wakati hauna kitu ili ugundue nini kipya? Utaweza kuyavumilia masimango yake mkiwa tayari ndoani?
Huyo ana shida na "harusi" sio ndoa, mwenye utayari na ndoa hawi hivyo ulivyo mdescribe.

NB: kudate na mwanaume asie na kitu ni kipaji, na wamejaaliwa wachache sio wote.
 
Daaah pole sana mkuu kwa mapito unayopitia
jaribu ku focus kwenye juhud za kupat kazi hata kama ni ndgo kimshahara kua na malengo
kama Mungu amekupangia uwe nae itakua hivyo
Mwenyez Mungu akufanyie wepesi
 
Asante sana japo ananivunja moyo sana ila mapenzi ya dhati ninayo kwake.
 
Dah hakuna kitu ninachokichukia kwenye mapenzi kama dharau hata mwanamke awe mzuri vipi akionesha kunidharau huwa sirembi ni kumpiga chini tu. Wewe jamaa kama unataka faraja ni kumuacha tu hiyo ndiyo faraja yako ingawa ni ngumu kumuacha, lakini jitahidi. Njia ya kumuacha bila yeye kukuchukia ni kumuacha kimya kimya, hakuna kumtafuta mpaka akutafute mwenyewe, akikutafuta ongea na kuchat nae vizuri tu akikuuliza baby mbona umebadilika siku hizi? Hiyo nafasi ndiyo utaitumia kumpa za uso!
 
Pole sana mkuu, sijui unataka dalili gani nyingine ya kukuonyesha kuwa hapo ulipo sipo!!!
Mapenzi ya dhati ukiwa hauna kitu yamebakia kuwa historia tu, and hope unalielewa hilo.

Hivi mtu alokunyanyasa kiasi hicho bado unafikiria kumvisha pete!! Okey unataka umuoe wakati hauna kitu ili ugundue nini kipya? Utaweza kuyavumilia masimango yake mkiwa tayari ndoani?
Huyo ana shida na "harusi" sio ndoa, mwenye utayari na ndoa hawi hivyo ulivyo mdescribe.

NB: kudate na mwanaume asie na kitu ni kipaji, na wamejaaliwa wachache sio wote.
Nashukuru sana kwa nasaha zako, Ila najua milango itafunguka japo sikupenda ifunguke yeye akiwa nje nilitaka wote tuingie ndani.
 
Daaah pole sana mkuu kwa mapito unayopitia
jaribu ku focus kwenye juhud za kupat kazi hata kama ni ndgo kimshahara kua na malengo
kama Mungu amekupangia uwe nae itakua hivyo
Mwenyez Mungu akufanyie wepesi
Nashukuru sana napigana kila leo niweze kupata ajira ili nionekane mtu kwake.
 
Dah hakuna kitu ninachokichukia kwenye mapenzi kama dharau hata mwanamke awe mzuri vipi akionesha kunidharau huwa sirembi ni kumpiga chini tu. Wewe jamaa kama unataka faraja ni kumuacha tu hiyo ndiyo faraja yako ingawa ni ngumu kumuacha, lakini jitahidi. Njia ya kumuacha bila yeye kukuchukia ni kumuacha kimya kimya, hakuna kumtafuta mpaka akutafute mwenyewe, akikutafuta ongea na kuchat nae vizuri tu akikuuliza baby mbona umebadilika siku hizi? Hiyo nafasi ndiyo utaitumia kumpa za uso!
Huwa naona ni vigumu kufanya maamuzi hayo kwake maana hata kama nikiyafanya hawezi hata kuumia hata robo ya maumivu yangu, ninahisi kama nitajitesa sana kuliko sasa.
 
Pole sana mkuu, sijui unataka dalili gani nyingine ya kukuonyesha kuwa hapo ulipo sipo!!!
Mapenzi ya dhati ukiwa hauna kitu yamebakia kuwa historia tu, and hope unalielewa hilo.

Hivi mtu alokunyanyasa kiasi hicho bado unafikiria kumvisha pete!! Okey unataka umuoe wakati hauna kitu ili ugundue nini kipya? Utaweza kuyavumilia masimango yake mkiwa tayari ndoani?
Huyo ana shida na "harusi" sio ndoa, mwenye utayari na ndoa hawi hivyo ulivyo mdescribe.

NB: kudate na mwanaume asie na kitu ni kipaji, na wamejaaliwa wachache sio wote.
Sasa unampa pole ya nini? Hajanyanyaswa anajinyanyasa...

Shoga zake wamekwishaolewa.. na mwanamke hawezi kuishi bila kuangalia wenzake wamempiku au amewapiku.

Kama hauna chochote Mwanamke atakayekuvumilia ni yule tu anayekupenda kuliko unavyompenda wewe.

Usijiingize kwenye mahusiano kwenye hali hiyo utaishia kukonda kwa hali mbaya na stress za mwanamke.
 
Pole sana, hapo suluhi pekee achana nae Mungu anakuepusha na matatozo makubwa hapo. Mapenzi haya lazimishwi na usiwaze itakuaje mkiachana, utapata mwingine mwenye ubinadamu.
Siku zote bibadamu tunateska sana leo kwa kuogopa kuwa nikitoka hapa leo, kesho itakuwaje? Hili achana nalo, na ukiweza achana nae utakomaa sana kimapenzi na hujli umia.
I stand to be corrected
 
Dah hakuna kitu ninachokichukia kwenye mapenzi kama dharau hata mwanamke awe mzuri vipi akionesha kunidharau huwa sirembi ni kumpiga chini tu. Wewe jamaa kama unataka faraja ni kumuacha tu hiyo ndiyo faraja yako ingawa ni ngumu kumuacha, lakini jitahidi. Njia ya kumuacha bila yeye kukuchukia ni kumuacha kimya kimya, hakuna kumtafuta mpaka akutafute mwenyewe, akikutafuta ongea na kuchat nae vizuri tu akikuuliza baby mbona umebadilika siku hizi? Hiyo nafasi ndiyo utaitumia kumpa za uso!
Fact
 
Sasa unampa pole ya nini? Hajanyanyaswa anajinyanyasa...

Shoga zake wamekwishaolewa.. na mwanamke hawezi kuishi bila kuangalia wenzake wamempiku au amewapiku.

Kama hauna chochote Mwanamke atakayekuvumilia ni yule tu anayekupenda kuliko unavyompenda wewe.

Usijiingize kwenye mahusiano kwenye hali hiyo utaishia kukonda kwa hali mbaya na stress za mwanamke.
Nampa pole kwa upofu alio nao.
 
Huwa naona ni vigumu kufanya maamuzi hayo kwake maana hata kama nikiyafanya hawezi hata kuumia hata robo ya maumivu yangu, ninahisi kama nitajitesa sana kuliko sasa.

Kama unakuwa muoga wa kufanya maamuzi aisee wanawake watakusumbua sana. Anyway komaa nae huenda akabadilika, lakini ningelikuwa mimi hata namba yake ningelikuwa nimeshafuta.
 
Sasa ukipata ajira mafunga hiyo ndoa na ikatokea bahati mbaya ukaipoteza hiyo ajira, hiyo ndoa itaendelea kuwepo kweli!. Waswahili husema dalili ya mvua ni mawingu. sometimes usiruhusu hisia zako zitawale akili yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom