Nahitaji Emails na Number za Halmashauri za Wilaya ya Tanga

Nahitaji Emails na Number za Halmashauri za Wilaya ya Tanga

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
11,022
Reaction score
10,432
Wakuu naombeni msaada;

Kuna Proporsal nataka kuipeleka kwao wahusika hapo juu. Nimejaribu kuangalia website yao ila number na email ya Ras haifanyi kazi. Sasa naomba mwenye email address itakuwa bora zaidi.

Hii issue inahusuku uwekezaji katika kilimo, sasa nilikuwa nataka contacts za wilaya zote ili kujua kwenye fursa itakayo fit requirements za muwekezaji.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom