Nahitaji drone

Nahitaji drone

Bborion

Member
Joined
May 20, 2019
Posts
63
Reaction score
41
Samahani wakuu.

Nauliza Kama kunamtu anafahamu maduka wanayouza drone hapa dar.

Natanguliza shukrani
 
Hujatoa specifications mkuu,unataka zile za kijasusi au za kupigia picha...?
 
Nadhani kule msasani kwenye maduka ya wachina hukosi japo sina hakika sana
 
Back
Top Bottom