Nahitaji connection na research institute.

Tiger

JF-Expert Member
Nov 30, 2007
1,747
386
Waungwana naomba msaada wenu ili niweze kupata mawasiliano na taasisi inayofanya tafiti juu ya "BRAIN & HUMAN MIND". Niko interest sana na hayo mambo husika.
Binafsi nimesoma Electronics & Communication Engineering lakini nilitokea kupenda sana biology tangu nikiwa mdogo sana lakini kwa sababu fulani nikajikuta nimengia katika masomo mengine(Engineering).
Pamoja na kusoma Eng. Still i love biology na kuna IDEAS ninazo, ambazo ningepata watu wa ku-share nao ningejisikia furaha sana moyoni mwangu.
To be honest ningependa hiyo institute iwe ya nje ya nchi(tz) coz naogopa kuvunjwa moyo kwa kuonekana naota ndoto za ali-nacha pale nitakapo zi-introduce hizo ideas kwa mtu ambaye atazisikia toka kwangu kwa mara ya kwanza.
(naishi dsm)
 
hahahaaaaaaaaaaa! mkuu una familia au uko kisingi singo zaidi!
 
Kwanini usianze kwa kusearch online??
Nadhani hiyo ndio njia rahisi zaidi. Search then contact wale unaoona watakufaa na mawazo yako.
 
Waungwana naomba msaada wenu ili niweze kupata mawasiliano na taasisi inayofanya tafiti juu ya "BRAIN & HUMAN MIND". Niko interest sana na hayo mambo husika.
Binafsi nimesoma Electronics & Communication Engineering lakini nilitokea kupenda sana biology tangu nikiwa mdogo sana lakini kwa sababu fulani nikajikuta nimengia katika masomo mengine(Engineering).
Pamoja na kusoma Eng. Still i love biology na kuna IDEAS ninazo, ambazo ningepata watu wa ku-share nao ningejisikia furaha sana moyoni mwangu.
To be honest ningependa hiyo institute iwe ya nje ya nchi(tz) coz naogopa kuvunjwa moyo kwa kuonekana naota ndoto za ali-nacha pale nitakapo zi-introduce hizo ideas kwa mtu ambaye atazisikia toka kwangu kwa mara ya kwanza.
(naishi dsm)

Acha Kasumba....kama idea zako ziko genuine kwa nini uogope challenges? Nenda Ifakara Health Institute, omba kuonana na Dr Honorath Massanja (Director of Research, IHI), ana interest kubwa sana kwenye area ya electronic/information technology jinsi gani inaweza kuimprove Health Information System hapa kwetu Tanzania. Pia unaweza ongea na Henry Mwanyika pia IHI, ni PhD candidate kwa collaboration ya IHI na Swiss Tropical Institute kwenye area hiyo hiyo!

Angalau jaribu kabla ya kuogopa na kukata tamaa!
 
KIjana kama utapenda hii..jaribu kufanya mawasiliano na mimi..just inbox me..

South Korea : Master's Research Position

Sponsored Link
Master's Researcher Positions at the Structural System Laboratory
Department of Civil and Environmental Engineering,
Kunsan National University, South Korea

The Structural System Laboratory (SSL) in the Department of Civil Engineering (specially Structural Engineering), Kunsan National University, has established itself as a leading
laboratory in South Korea with continuous developments in the relevant engineering researches in the field of Civil Engineering. We have been undergoing for several research projects by the South Korean Government. Through stable financial supports for the SSL members, our aim is to make the selected research teams as world-leading research groups.

Based on several grants, including Brain Korea 21st Century (BK21) grant, our team is inviting sincere international applicants for master degrees. Monthly stipends and settlement supports, incentives depending on performances as well as tuition fees will be supported based on the
laboratory financial supporting system. Applicants should have enthusiasm in research, and excellent skills in English communication (written and verbal) are highly preferred.
We prefer applicants who are able to publish international journal papers ranked as SCI or SCIE during his/her appointment in the laboratory with their own creative research topics. Interested applicants must submit their curriculum vitae with a brief research plan to Prof. Dookie Kim (kim2kie@chol.com).

Contact:
Dookie Kim, Associate Professor
Department of Civil Engineering
Kunsan National University
Kunsan, Jeonbuk 573-701, Korea (South)
Phone: +82-63-469-4770
Fax: +82-63-469-4791
Email: kim2kie@chol.com
Further Information
Application Deadline : 30 November 2011
 
Acha Kasumba....kama idea zako ziko genuine kwa nini uogope challenges? Nenda Ifakara Health Institute, omba kuonana na Dr Honorath Massanja (Director of Research, IHI), ana interest kubwa sana kwenye area ya electronic/information technology jinsi gani inaweza kuimprove Health Information System hapa kwetu Tanzania. Pia unaweza ongea na Henry Mwanyika pia IHI, ni PhD candidate kwa collaboration ya IHI na Swiss Tropical Institute kwenye area hiyo hiyo!Angalau jaribu kabla ya kuogopa na kukata tamaa!
like it!!!!
 
Hii ndiyo jf bwana.
Mpaka hapa nimeshaiona green light.
Nawashukuru wote mlio na mnao endelea kutoa mchango wenu.
Nimependa pia wazo la kuacha kasumba na woga. Kwa sasa naomba niendelee kupata mawazo yenu na kuyafanyia kazi.
 
Acha Kasumba....kama idea zako ziko genuine kwa nini uogope challenges? Nenda Ifakara Health Institute, omba kuonana na Dr Honorath Massanja (Director of Research, IHI), ana interest kubwa sana kwenye area ya electronic/information technology jinsi gani inaweza kuimprove Health Information System hapa kwetu Tanzania. Pia unaweza ongea na Henry Mwanyika pia IHI, ni PhD candidate kwa collaboration ya IHI na Swiss Tropical Institute kwenye area hiyo hiyo!

Angalau jaribu kabla ya kuogopa na kukata tamaa!

Mkuu nilifanikiwa kwenda IHI lakini sikuwaona hao watu hapo juu coz mmoja yuko nje na mwingine hayupo pale kwa sasa.
Hata hivyo nilionana na doctor mmoja mkongwe(jina kapuni) nikaongea naye ila alionesha kutoridhika na elimu yangu ya biology.
Kumbuka kuwa mimi nilisoma biology mwisho form 4 na baada ya hapo niliendelea na PCM mpaka Engineering.
Japo nilimwambia kuwa niliendelea kujisomea from different sources bado hakuonekana kunielewa, zaidi aliniambia sina elimu ya anatomy,phisiology etc.. kwa hiyo aliniambia labda nikasome kwanza.
Kama mtu hakuwepo eneo husika anaweza sema Idea yangu haina maana ndio maana nilijibiwa hivyo lkn ukweli ni kwamba hakuoneka
kuhoji zaidi idea yenyewe badala yake alikomaa na elimu yangu ya bios.
Mi ninaamini those inventors like Thomas Edison did those things much from instinct and not necessarily from specialised knowledge.
Mtu kama Edson alienda shule miezi mi 3 tu lakini alifanya vumbuzi kama light bulb,phonegram etc..
so ndio maana nilikuwa naogopa mwanzoni mambo ya kibongo kutokana na vitu kama hivyo.
kwa hiyo bado nahitaji ushauri wenu.
Asante.
 
Back
Top Bottom