NAHITAJI ''Clamp on-Ground resistance Tester''

Akami

Member
Sep 18, 2009
82
14
Wana Jf najua tuna majukumu mengi sana ya uchaguzi wa October lakini naomba kwa wale wenye maduka ya kuuza vifaa vya umeme au kwa wale wanaofahamu naomba wanisaidie ni wapi hapa kwetu Tz naweza kupata hii meter,''CLAMP ON-GROUND RESISTANCE TESTER''

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom