Nahitaji chumba self contained: makumbusho, mwenge , msasani au k/nyama

Spinster

JF-Expert Member
Mar 19, 2012
487
138
kiwe chumba na choo ndani chenye nafasi ya kutosha, bei kuanzia 70000-80000 kulingana na chumba
nitafute kwa namba hii 0622544644
 
Sio nakatisha mtu tamaa namuambia ukweli, Master gani anapata kwa 80,000 maeneo hayo, kwa bei hiyo atafute chumba cha kawaida na sio master,

Kwahiyo master kwa maeneo hayo zinaanzia ngapi, yaani at leat mtu awe na bajeti inayocheza mwenye ngapi (master standard)
 
@Tunzo,come this way ujibu swali hapo juu,,master single room bei gani kwa makisio na uzoefu wako
 
Kwahiyo master kwa maeneo hayo zinaanzia ngapi, yaani at leat mtu awe na bajeti inayocheza mwenye ngapi (master standard)
Hayo maeneo angalau 140K kwenda juu kwa master, ndio hata naweza kukuambia uje ucheki chumba, Mtu akikuambia njoo uchek master ya chini ya hapo anakupotezea mda.
 
Hapa tu nimepost kwa group la madalali chek majibu yap, bei hiyo labda bunju
20190510_111446.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom