Nahitaji chumba cha kupanga Moshi

Nahitaji chumba cha kupanga Moshi

Masterchuma

Member
Joined
Apr 1, 2021
Posts
9
Reaction score
19
Amani ya Bwana iwe nanyi.

Naomba msaada wa chumba cha kupanga master au master sebule sawa, bei isizidi 130,000/=

Maeneo ya mitaa ya Mbuyuni, Dar Es Salaam hadi Soweto na maeneo mengine jirani na hiyo mitaa.

Natanguliza shukrani.
 
Amani ya Bwana iwe nanyi.

Ni mimi kijana wenu mhitimu wa Chuo Kikuu nipo katika kujitafuta kwenye mji huu wa Moshi nimejishikiza sehemu kikazi

Naomba msaada wa chumba cha kupanga master au master sebule sawa, bei isizidi 130,000/=

Maeneo ya mitaa ya Mbuyuni, Dar Es Salaam hadi Soweto na maeneo mengine jirani na hiyo mitaa.

Natanguliza shukrani.
Mtafute huyu Lexus SUV. Hizo mbwembwe za chuo kikuu siju nini zinachora picha kama ni juha fulani hivi; achana nazo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom