Nahitaji chain saw ya bei rahisi ambayo ni strong

issac77

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
2,959
4,824
Nataka niingie poli kupigisha kazi. Bajeti yangu ni mil 1.5. Msaada wenu wa mawazo wakuu. Nichukue chain saw aina gan ambayo ni strong kwa bajet yangu hiyo?
 
Wenye hii machine maeneo yaliyopitiwa na mradi wa SGR wamepiga sana pesa.
 
Hasqvana maeneo ya Samora Avenue maduka ya Wahindi, maduka yanayotazamana na choo cha umma
 
Mkuu budget yako ndogo sana hutapata chainsaw kwa heavyduty and durable.

Kibongo bongo chainsaw zinazokubalika ni HUSQVARNA 272 series made in BRAZIL. Rangi ya machungwa. Spare zake zinapatikana kwa wingi sana.
Hiyo bei yake imesimama si chini ya Tsh 1,850,000 hadi 2M.

Asikudanganye mtu ukanunua mashine nyingine nje ya hiyo utapata tabu sana na ni kama utakuwa umechezea hela yako.
 
Nataka niingie poli kupigisha kazi. Bajeti yangu ni mil 1.5. Msaada wenu wa mawazo wakuu. Nichukue chain saw aina gan ambayo ni strong kwa bajet yangu hiyo?
Ukishafikia maamuzi ya aina gani ya chainsawa unataka basi usisite kubonyeza hii menyu *149*46*30# kwenda voda,tigo na airtel bure ili NIAGIZEDAR tukakununulie iyo chainsawa kule kwa wahindi then tuisafirishe hadi mkoani kwako.

Karibu sana boss wangu.
0745645035
 
nimekuelewa mkuu. hiyo husqvarna haina copy yake kweli? og yake nitaijuaje maana hapa naagiza sifati mwenyewe
 
Husqvarna 272 kwama mdau alivyopendekeza hapo juu. bei gan?
 
HUSQVARNA 272 hiyo hapo 1.9M itatoka kule mitaa ya wahindi mpka ulipo.Piga *149*46*30#.
Screenshot_20230807-115809~2.jpg
 
nimekuelewa mkuu. hiyo husqvarna haina copy yake kweli? og yake nitaijuaje maana hapa naagiza sifati mwenyewe
Copy ipo mkuu. Mara nyingi famba rangi yake inakuwa "machungwa inayoelekea kwenye wekundu" ni mchina au italy lakini og inakuwa machungwa mpauko kitu cha mbrazil.
Ukiwa tayari funguka ntakuunganisha na mwenye duka mpemba mmoja yuko very humble na mwaminifu make nshafanya nae biashara.

NB; Kama ni mara yako ya kwanza kujihusisha na hizi mashine, hakikisha unaenda mwenyewe dukani na uwe na oparatera mzoefu ili akuchagulie kitu konki.
Nicheki PM kwa msaada zaidi.
 
Nataka niingie poli kupigisha kazi. Bajeti yangu ni mil 1.5. Msaada wenu wa mawazo wakuu. Nichukue chain saw aina gan ambayo ni strong kwa bajet yangu hiyo?
Nitafute nikuuzie mashine Mkuu.
Zipo za kutosha
 
Back
Top Bottom