Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,864
- 3,688
Huku Iringa kijana tu unakuta anamiliki hii kitu na dayworker daily hakosi kuangusha miti, kufanyia usafi, kuchania mbao nk .na maisha yanakwenda .
mkuu panga la husqvarna naweza pata kwa bei ganiCopy ipo mkuu. Mara nyingi famba rangi yake inakuwa "machungwa inayoelekea kwenye wekundu" ni mchina au italy lakini og inakuwa machungwa mpauko kitu cha mbrazil.
Ukiwa tayari funguka ntakuunganisha na mwenye duka mpemba mmoja yuko very humble na mwaminifu make nshafanya nae biashara.
NB; Kama ni mara yako ya kwanza kujihusisha na hizi mashine, hakikisha unaenda mwenyewe dukani na uwe na oparatera mzoefu ili akuchagulie kitu konki.
Nicheki PM kwa msaada zaidi.
Kama hujapata ninayo Total 24' used ipo katika hali nzuri bei 1 milioni, nipo mwenge daslamNataka niingie poli kupigisha kazi. Bajeti yangu ni mil 1.5. Msaada wenu wa mawazo wakuu. Nichukue chain saw aina gan ambayo ni strong kwa bajet yangu hiyo?
Used ni kipengere mkuu, mara 100 unune mpya! Haya madude ni pasua kichwa yanakufa kufa kama uyoga! Nilishalinunua kwa 1.9 m. Nikalitumia likafa nikanua spare nikaunga likafa Tena nikauza kwa 1m. Nikala hasaraKama hujapata ninayo Total 24' used ipo katika hali nzuri bei 1 milioni, nipo mwenge daslam