Nahitaji Brenda inayosaga vitu vikavu kama mbegu za kahawa na tangawizi


EMMANUEL JASIRI

EMMANUEL JASIRI

Member
Joined
Feb 2, 2015
Messages
97
Likes
8
Points
15
Age
39
EMMANUEL JASIRI

EMMANUEL JASIRI

Member
Joined Feb 2, 2015
97 8 15
BRENDA INAYO SAGA,BRENDA INAYO SAGA,BRENDA IMARA YENYE UWEZO WA KUSAGA VIUNGO VIKAVU KAMA TANGAWIZI KAHAWA NINA HITAJI KUAZIMWA KWA MAKUBALIANO YA MALIPO MAALUM KAMA KWA KILA WIKI AU KILA MWEZI,KUNA BIDHAA NINATAKA KUTENGENEZEA KWA SABABU NDIO NAANZA MRADI NADHANI MWENYE MOYO WA KUNIWEZESHA KWA MAPATO YA KULIPANA ATAPATIKANA HUMU,ANIJULISHE KWA NAMBA 0686081871,AU 0768977816
 

Forum statistics

Threads 1,213,815
Members 462,336
Posts 28,491,083