FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
Ukihitaji Mod mi usinisahau
Usipowapenda hao blogger, jaribu pia wordpress.com
Fidel80 hii nataka niwe Mod mwenyewe niwe IT mwenyewe labda nikizidiwaNyani Ngabu siwezi kukupiga ban zaidi ni warning tu nakukwambia nafuta kauli.
mi nakushauri usifungue kwa style hio tafuta
1.host yako mwenyewe
2.install script ya wordpress
3.search google template ya fashion
4.install template
5. Anza kublog
Step ya 1 hadi ya 4 unaweza ajiri mtu au ukafanyiwa bure
Step ya 5 fanya mwenyewe
Membaz hope mko ok kabisa poleni na Mambo ya NSSF na SSRA ......
I Need to own my fashions blog naombeni msaada wa wapi nianzie....Natanguliza shukrani...
hi,
firstlady if interested about blog visit this blog kuna contacts watakutengenezea blog kulingana na hitaji lako alfu blog iliyo simama
Fununu Habari
cheers