Nahitaji binti Mnyantuzu/Msukuma wa kuoa

Usiwe na wasi wasi bibie King'asti! Migato utapajua tu nikikuleta ipo huku Bariadi! Achana na kitunda kuku na mayai ya kisasa yatakuathiri. Bariadi mwendo wa kujilia kuku na mayai ya kienyeji mpendwa weupe wako nitaugharamikia, usafiri siyo shida, pesa ipo account imetulia, six pac mwenyezi Mungu kanibariki ninayo na uwezo wakukufikisha mwisho wa safari kila tuianzapo ninao! Karibu ujilie raha binti usihadaike na maisha magumu na yavurugu huko kwenu daslamu!
huu weupe wa dukani babu weeh, hiyo fedha ya mkorogo wa kisasa uiandae kabisaaa.
migito ndo wapi? ujue mi sijui kulima wala kuchunga ng'ombe, najua kuvua samaki na kuwinda kwa mishale ya sumu. ila kumng'oa paw huwezi nakuambia, utamaliza pumzi tu wewe. kitunda huku tunafuga kuku na kula mayai tu
 
Last edited by a moderator:
hehehe baba umeanza advertise upyaaaa. hebu nipishe mie, sihofii kupambana. hamna ugumu wa maisha, kuna changamoto tu. na mie sio mvivu, usiniuzie chai hapa nikatema bigijii yangu ili unionjeshe karanga. akhuuu!
:A S 13::A S 13::A S 13:

Back
Top Bottom