Manifestation
Senior Member
- Jan 22, 2020
- 193
- 323
- Thread starter
- #41
Duh hatariYani manzi anamuona mshkaji kama rafiki tu. Anaweza hata akavaa nguo mbele yake na mwana asimfanye chochote .
Sent From Galaxy S9
Duh hatariYani manzi anamuona mshkaji kama rafiki tu. Anaweza hata akavaa nguo mbele yake na mwana asimfanye chochote .
Sent From Galaxy S9
Ukweli mchungu huu mkuuPiga chini pasua kichwa huyo wala usipate tabu.
SawaNarecomend comment namba 8
Hii equations kaliNdio hivyo kaka... Enery cant be created nor destroyed it is merely transfered from one form to another. So mwanamke wakati u ampigia magoti yeye ndio mwenyewe positive energy.... Ukimgegeda ile lositive energy inahamia kwako. Simple as that
Umeona , ngoja nichukue tinted Kali nimuwekeeeHawa ndo wale wanaoangalia tamthilia za kikorea na kifilipino
Kashakuweka kwenye friend zone
Chomaka fasta mkaushie mpotezee
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ujinga mi suupendi Mambo ya kuwa friend sitaki kuyasikia, tunakulana Huku Mambo mengine yanaendelea, Ila kila ukikausha unaona mtoto ana Moto WA kukutafutaaThat is me
Kuna binti mmoja anataka tuwe marafiki na tuwe na mawasiliano ya karibu lakini hayupo tayari tuwe wapenzi
Sijui ndio mambo ya friendzone hayo
Hiyo situation sisi wataalamu tunaita "friendzone".
Sent From Galaxy S9
Mchunie usijibu text wala kupokea simu hakikisha unamkwepa huonani naeUmeona , ngoja nichukue tinted Kali nimuwekeee
Yani manzi anamuona mshkaji kama rafiki tu. Anaweza hata akavaa nguo mbele yake na mwana asimfanye chochote .
Sent From Galaxy S9
Wengine wanajifanya walokole ukiwapotezea wanatakaHuwa mnawaokota wapi mabwege wa namna hii..?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kifupi ni kwamba unadate na mavi ya mbuzi
Baada ya hatua hizo unadhani atakuwa na response ipi ?[emoji3][emoji3]Mchunie usijibu text wala kupokea simu hakikisha unamkwepa huonani nae
Anzia hapo kwanza kisha rudi for more info
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nambakaYani manzi anamuona mshkaji kama rafiki tu. Anaweza hata akavaa nguo mbele yake na mwana asimfanye chochote .
Sent From Galaxy S9