Nahitaji attention yako Ila sio wewe

Nahitaji attention yako Ila sio wewe

Unampigia magoti mwanzoni tuu. Akishwagegedwa hana jipya tena unaanza tafuta mrembo mwengine. Ila huyu akiendelea kuleta papuchi unaigegeda tuu maana hana ujanja tena.
kama ni fundi kiwango cha dunia je, ukatamani gemu tena
 
Ni sawa na plutonic relationship ?
Yaa ni same but kwenye platonic both mnakuwa connected spiritualy with no physical sexual activity envolve ukija kwa friend zone mnakuwa na relationship romantic but one person anakuwa anataka sex (huyu namuita host) but huyo mwenza wake (parasite) anakuwa hataki sex , soo kama ulivyoona mmoja wapo ndo anakuwa ana faidika yule parasite.(mwanamke).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenichanganya mkuu

Ebu elezea tena vizuri
 
Umenichanganya mkuu

Ebu elezea tena vizuri
Kwa kifupi ni kuwa ,chukulia mfano umemtongoz mwanamke akaweka ukaribu na wewe kisha ukawa unajitolea kweli,na outings za kutosha ,kuchati romantic kila siku ila ukimwita uje ule k haji au ukimshtukiza anakupa visingizio na atafanya juu chini usile tunda.
Happ unajikuta unaona bora ulate mawasiliano ,kitendo cha kukata mawasiliano tu anakutafuta tena kwa spidi ya ajabu ukisema umrudie kwa kuwa unampenda mambo yananda kuwa yale yale .
 
Understood
 
Hii Hali imenikera sana, ukikata mawasiliano anakuganda kweli, ukijisogeza anajiweka mbali
 
Back
Top Bottom