dah nyie noma. sasa afate ushauri gani? kila mtu anasema bora kwa upande wake bila ya kutoa sababu husika. jee uliwahi kupata virus wakati unatumia kaspersky? au computer yako imekuwa slow au vipi ........... toeni sababuNimetumia avast,avira,microsoft essential,panda clouds,kaspersky,AVG,NZURI KWANGU AVAST NA MICROSOFT
kaspersky Internet security
nakubaliana nawe 100% oaNiliruka ruka sana, mara Avast, Nod,avira,AVG,Kaspersky nk
Lakini mwisho wa yote MICROSOFT SECURTY ESSENTIALS nimeiona ipo makini sana.
Ipo light na inapiga mzigo vizuri
Nyingi ya AV zimewekwa makoro koro na mbwembwe kibao na kutumia nafasi kubwa na kupunguza performance ya pc.
All in all hakuna AV ambayo ipo kamili kwa asilimia mia
Niliruka ruka sana, mara Avast, Nod,avira,AVG,Kaspersky nk
Lakini mwisho wa yote MICROSOFT SECURTY ESSENTIALS nimeiona ipo makini sana.
Ipo light na inapiga mzigo vizuri
Nyingi ya AV zimewekwa makoro koro na mbwembwe kibao na kutumia nafasi kubwa na kupunguza performance ya pc.
All in all hakuna AV ambayo ipo kamili kwa asilimia mia
[h=2]Microsoft Security Essentials 1.0[/h]Microsoft Security Essentials is easy to use, but it lags behind newer products at detecting malware.
Full Review
Last Rated: November 29, 2010
Avast Free Antivirus is a well-rounded free antivirus package: It does a solid job at blocking malware, has a pleasant interface, and scans files quickly.
Full Review
According na review waliyofanya PC Word mwaka jana mwishoni walikuja na hii list hapo chiniNa kwenye review ya Microsoft walisema yafuatayo:-
- Avast Free Antivirus
- Avira Antivirus
- Microsoft
- Panda
- Comodo
Na kuhusu Avast walisema yafuatayo
kwa full review ya zote hizo hapo juu cheki hapa
Top 5 Free Antivirus for 2011 | PCWorld
mkuu biashara matangazo...hata wao ni lazima wavutie vyao...propaganda tu...anyway...after all maamuzi ya mwisho ni ya mtumiaji tu...so its your choice!!