Nahitaji antivirus

nxon

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,160
389
itakuwa poa kama ukiweka kwa pamoja na autorun eater utakuwa safe daima
 

Paje

JF-Expert Member
Apr 24, 2010
1,185
453
Nimetumia avast,avira,microsoft essential,panda clouds,kaspersky,AVG,NZURI KWANGU AVAST NA MICROSOFT
dah nyie noma. sasa afate ushauri gani? kila mtu anasema bora kwa upande wake bila ya kutoa sababu husika. jee uliwahi kupata virus wakati unatumia kaspersky? au computer yako imekuwa slow au vipi ........... toeni sababu
 

Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,936
5,971
kaspersky Internet security

Hata mimi kwa kweli naikubali hii kaspersky internet security 2012, nimeitumia kwa miezi mitatu na sijawahi kupata serious infection ila kuna malware aliingia kwenye pc yangu akawa ananiletea false warnings kwenye event viewer ikabidi nimtoe kwa kutumia malwarebytes' nimebadilisha na kutumia bitdefender peke yake na sijawahi kupatwa na kitu chochote. Sikupenda kutumia more than one security software kwenye pc yangu kwasababu zinakuwa zinatumia resources nyingi.
 

Lonestriker

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
640
240
Antivirus ninayoipenda zaidi ni Eset Nod.Haina mizengwe.Avast Free ni rahisi kuipata lakini vya bure ni gharama,Avast ina tabia ya ku-gonga set up za softwares na mara nyingi inashindwa ku-repair infected files.Kaspersky iko poa thou kwa sisi watumiaji wa internet za vibaba ni noma kwa sababu first database update ni zaidi ya 70mb.Shida yetu kubwa ni ku-update antivirus ndio maana tunaruka ruka from one antivirus to another.
 

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,552
1,276
pole sana...kuna maswali ambayo mkuu si ya kuuliza maeneo kama haya mkuu! mfano swali hili...kumbuka humu JF kila mtu anajinsi yake ya kutumia pc na protection yake kulingana na mazingira aliyopo..sasa ukiuliza kuhusu utumie antivirus gani HAKIKA UTAISHIA KUCHANGANYIKIWA TU.....kuna mamia ya antivirus sikuhizi swala ni wewe kuingia online kuangalia reviews mbalimbali zinazohusu antivirus kisha kuchagua ILE UNAYOONA INAKUFAA kulingana na specifications za pc yako...hakuna antivirus ILIYO BORA ZAIDI YA NYINGINE, kila moja ina mazuri na mapungufu yake..swala ni wewe mwenyewe...sababu kuna antivirus watu wanaweza kuisifia sana tumia hihi afu ukaweka tu kwenye pc yako ukakuta ni bora hata usingeweka...pc inakuwa nzito kuliko hata usingeweka, sasa hujui kumbe hiyo antivirus inahitaji specifications gani we umeweka tu....!! Kuna antivirus ni nzuri sana kwa mazingira ya server pc kuna ambazo ni nzuri kwa pc zenye proccessor kubwa ...n.k. na MARA NYINGI SANA HUWA WATU WANACHAGUA ANTIVIRUS KUTOKANA NA MAPENZI BINAFSI TU..unakuta mtu hata umwambie nini yeye ni antivirus fulani tu...si kwa sababu ni nzuri sana...NO..anaipenda tu! labda akiweka zingine zinamsumba sana...HALAFU KWA USHAURI TU..! PENDELEA KUWEKA ANTIVIRUS AMBAZO WALAU ZINA MAJINA YA KUELEWEKA....SIO UNASIKIA ANTIVIRUS INAITWA NINI SIJUI HUKO..WE UNAWEKA TU! UTALIA!! uzuri siku hizi kuna antivirus ambazo ni free na ni nzuri sana ..ILA USIWEKE ANTIVIRUS FREE EDITION ambayo ina edition ya kuuzw(mfano unakuta kuna AVG free na zingine zinauzwa...we unadhani ni kwa nini nyingine wauze na nyingine watoe free?..jiulize)..ni bora uchukue antivirus za kueleweka ..mfano MICROSOFT SECURTY ESSENTIALS... ni free na ni ya MICROSOFT wenyewe amabyo wanaitengeneza maaluma kwa mazingira ya windows zao...ni kama antivirus zingine za kuuzwa isipokuwa wao wanaitoa free kuwasaidia user wao...kama unataka ya kununua basi tafuta oringina yake...sio free edition yake!! ILA kwa mimi i would go for microsoft security essentials....hii ni sababu nimewahi kutumia antivirus nyingi sana hapo mwanzo(free, cracked na za kununua) na nikaona matatizo yake angalau hii ya microsoft naona wanajitahidi...

UAMUZI NI WAKO!!
 

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,410
3,160
Niliruka ruka sana, mara Avast, Nod,avira,AVG,Kaspersky nk
Lakini mwisho wa yote MICROSOFT SECURTY ESSENTIALS nimeiona ipo makini sana.
Ipo light na inapiga mzigo vizuri
Nyingi ya AV zimewekwa makoro koro na mbwembwe kibao na kutumia nafasi kubwa na kupunguza performance ya pc.
All in all hakuna AV ambayo ipo kamili kwa asilimia mia
 

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,552
1,276
Niliruka ruka sana, mara Avast, Nod,avira,AVG,Kaspersky nk
Lakini mwisho wa yote MICROSOFT SECURTY ESSENTIALS nimeiona ipo makini sana.
Ipo light na inapiga mzigo vizuri
Nyingi ya AV zimewekwa makoro koro na mbwembwe kibao na kutumia nafasi kubwa na kupunguza performance ya pc.
All in all hakuna AV ambayo ipo kamili kwa asilimia mia
nakubaliana nawe 100% :poa
 

nachid

JF-Expert Member
Apr 14, 2011
933
200
Niliruka ruka sana, mara Avast, Nod,avira,AVG,Kaspersky nk
Lakini mwisho wa yote MICROSOFT SECURTY ESSENTIALS nimeiona ipo makini sana.
Ipo light na inapiga mzigo vizuri
Nyingi ya AV zimewekwa makoro koro na mbwembwe kibao na kutumia nafasi kubwa na kupunguza performance ya pc.
All in all hakuna AV ambayo ipo kamili kwa asilimia mia

hata mi naikubali sana hii ni mwanzo mwisho
 

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,201
1,330
According na review waliyofanya PC Word mwaka jana mwishoni walikuja na hii list hapo chini
  1. Avast Free Antivirus
  2. Avira Antivirus
  3. Microsoft
  4. Panda
  5. Comodo
Na kwenye review ya Microsoft walisema yafuatayo:-
[h=2]Microsoft Security Essentials 1.0[/h]Microsoft Security Essentials is easy to use, but it lags behind newer products at detecting malware.
Full Review
Last Rated: November 29, 2010

Na kuhusu Avast walisema yafuatayo
Avast Free Antivirus is a well-rounded free antivirus package: It does a solid job at blocking malware, has a pleasant interface, and scans files quickly.
Full Review

kwa full review ya zote hizo hapo juu cheki hapa
Top 5 Free Antivirus for 2011 | PCWorld
 

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,552
1,276
According na review waliyofanya PC Word mwaka jana mwishoni walikuja na hii list hapo chini
  1. Avast Free Antivirus
  2. Avira Antivirus
  3. Microsoft
  4. Panda
  5. Comodo
Na kwenye review ya Microsoft walisema yafuatayo:-


Na kuhusu Avast walisema yafuatayo


kwa full review ya zote hizo hapo juu cheki hapa
Top 5 Free Antivirus for 2011 | PCWorld

mkuu biashara matangazo...hata wao ni lazima wavutie vyao...propaganda tu...anyway...after all maamuzi ya mwisho ni ya mtumiaji tu...so its your choice!!
 

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,201
1,330
mkuu biashara matangazo...hata wao ni lazima wavutie vyao...propaganda tu...anyway...after all maamuzi ya mwisho ni ya mtumiaji tu...so its your choice!!

Mkuu hao ni kina nani hii ni PC World kazi yao ni kuuza vifaa vya computers na sofwares na wanafanya research kutokana na experts wao na sio mtu mmoja wala sio kulipwa (ukizingatia hizi ni free products..)

Kwahiyo mkuu hao watu ni kina nani..? pili kwenye link ambayo nimempa jamaa akadownload ni CNET ambapo kila mtu anayedownload na kutumia anatoa comment sio mtu mmoja hata wewe leo unaweza kwenda na kuacha comment kwahiyo jamaa atapima kutokana na recommendations kutoka kwa different users..., na sio kampuni husika.... DIfferent Users... I repeat Users
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom