HABARINI ZA LEO WADAU WANGU.
Labda nirejeshe salam za upendo kwa mlioniombea wakati sina kazi na hatimaye nimefanikiwa kupata kazi kwenye taasisi kubwa sana katika Taifa hii.Hakika ni taasisi kubwa nilikata tamaa nikasema labda taasisi hii inaajiri vigogo tu mimi si kitu lakini hatimayae baada ya mwaka mzima nimeajiriwa rasmi baada ya kumaliza probation ya mwaka mmoja mzima.
KWA SASA NATEGEMEA KUJIAJIRI NA KUONGEZA KIPATO KWA KILIMO SASA NINATAKA NIPATE BWANA KILIMOKUTOKA SUA TUFANYE NAYE KAZI MAANA NIMEFUNGUA MRADI WA KUKU NA MIHOGO TANGA .NATAKA ushauri wakitaalam.Ili nifanikiwe kwenye kilimo nahitaji skills zaidi kuliko NGuvu
Pamoja Tunaweza
NB
nikimpata tutakuwa tunafanya kazi online so hana haja ya kuja labda nimhitaji eneo la kazi TANGA MJINI MAENEO YA KANGE
WATAKABAU
STANLEY SOLOMON