Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 1,169
- 2,846
- Thread starter
- #121
Mkuu kuna waloaji niliwapata nikawadhamini pumba, sehemu ya kulala pamoja na kuwaazima hela si unajua wanavyoomba, yani toka wameanza kulowa wanakuja na kilo moja wakipata sana kilo 3 pumba zinaisha tuu gunia ni elfu 30 plus ninachokipata sikioni we acha tuu.Ila hio biashara kudhamin kununua nyavu sijui kumiliki wavuvi ujipange lasivyo utapoteza kila kitu