Nahisi Simtendei Haki Na Jitihada Zangu Zote!

wait a minute!NAHISI SIMTENDEI HAKI, unataka kumtendea haki gani we dada?mi sijaelewa hapa?kwani haki yake hapa ni ipi?

Anataka ammpe majamboz lakini kwa kuwa jamaa hajaanza kusema! Hapa inaonekana yeye ndo anapata shida na sio jamaa!
NB, anakiri kabisa kuwa anafanya jitihada bt still..................................
 
Hali hii ni ya kawaida kuwapata wakaka hasa wenye macho mengi wanapomuona mdada yoyote mpya kwa ofisi,me mwenyewe iliwahi nitokea kipindi flani hivii nikiwa nafanya kaz bank.Ni hali ya kawaida na huwapata wanaume wengi kwa sababu wao wameumbwa na tamaa,kaz kwako kuzuia hiyo tamaa isiende mbali.
Zingatia mambo yafuatayo uwapo kazini
1.Usivae nguo zinazoacha sehemu kubwa ya mwili wazi hata kama wewe unaona ni za kawaida.
2.Unapokuwa ofisini kuwa kama mfanya kazi na sio msichana,acha tabia za kisichana nyumbani
3.Muheshimu huyo kaka na ujiheshimu mwenyewe hapo hajakuzoea akikuzoea ataacha kukuangalia.
4.Do not date a fellow employee itakucost my dia
5.Omba ushauri kwa mmoja kati ya maboss zako hao wa kike hii itakuondolea hofu ya kujadiliwa hapo ofisini.
6.Ukikutana nae msalimie kwa uchangamfu na heshima bila tone la aibu atakuheshimu na hatokutamani tena.
Ukizingatia haya utaishi ofisi yoyote kwa amani sana dadaangu,All the best

Hapo ktk red pazingatie sana, sio wewe tu na hata msichana mwingne yeyote.
 
Binti, inaelekea na wewe umeanza kupata shida na dhoruba ya mapenzi kama sio matamanio kwa huyo jamaa, si kitu kibaya kupendana au kutamaniana,ila tayari huyo jamaa keshaoa, ucje ukaharibu ndoa yake bure!!tulia, utapata wako. mpotezee na omba uhamishwe ofisi ili msionane marakwamara na kutegana coz nahisi hata wewe unamtega jamaa wa watu japo unajitetea unajitahidi "kutomnyanyasa kisaikolojia"!!!!!
 
Mimi nahisi huyo colleague wako ni wale wenye pepo la ngono. Mbona sisi tunafanya kazi na wasichana warembe lakini kwa kuwa wameolewa tunakula ngumu...na kazi zinaenda.
Kama wachangiaji; jitahidi kuvaa nguo za heshma. Chapa kazi kwani ukiwa loose mambo mengi maovu yanakuja kichwani...
 
uamuzi uliobaki ni 'umgawie tu hadi aichoke' arudi kwa mkewe
na wewe uendelee na kazi yako bila usumbufu
 
mimi ni newcomer hapa ofisini kwetu, na kwa bahati mbaya session yetu ina wanawake wengi wengi kuliko wanaume, nikisema hivyo namaanisha maboss wangu wanne ni wa kike na wawili ni wa kiume wote WAMEOA NA KUOLEWA!
na kwa bahati mbaya nimewekwa meza iliyo opposite na boss wangu wa kiume! shida inakuja, kuwa tangu naingia hapa ofisini nahisi huyu mkaka anakosa kuwa huru kabisa, najitahidi sana kwenye mavazi yangu nisije kumtega somehow or other but sijui ni kipi kinachomfanya akose uhuru wake aliyekuwa nao kabla ya mimi kuja hapa! imefikia sasa anakuwa anaenda kujificha library watu wakimuuliza anasema anahitaji concetration zaidi kitu ambacho si sahihi kwa wengi walivyomzoea, nakosa amani naamini mimi ndo cha chanzo cha yote! juzi wakati tupo kwenye mkutano alikuwa akiniangalia mno kiasi kwamba mpaka hawa wamama wamejua kuna hali ya utofauti! sijui nifanyeje jamani wanajf naombeni ushauri! sitaki hawa maboss wangu wa kike waone mimi ndo chanzo!!!

Una wazimu unakunyemelea. Hivi wewe ulienda hapo kazini kuangalia wanaokugalia au kufanya kazi. Wewe fanya kazi yako uhakikishe Job description yako kwa siku inatimia. Hayo mengine unaumiza kichwa, hata utafakari vipi hutapata jibu.
Huyo ni mwanangono, alikuwa na tabia ya kupiga mabao hao kwenye computer yake, sasa amejua umekuja kuharibu dili zake (hizi picha za ngono zimeathiri watu wengi sana).

Fanya kazi binti, acha kujihisi ujinga.
 
Dada yangu pole kwa yote yaliokukuta we vumilia tu dada yangu niyakawaida kuwa serious na kazi iliyokuleta.
 
Back
Top Bottom