Wakuu kutokana na yaliyonipata niliamua kuishi Mwenyewe licha ya kua na Watoto wawili ambao mama alitangulia mbele ya hako angali wachanga sana
Nilipita kwenye mahusiano ya hapa na pale ila sikutaka kabisa kuji commit kwa mtu, Mungu alinisaidia nikawa nimeacha kutumia pombe, ila kutokana na mawazo na upweke nilianza tena kutumia nikiwa kikazi kwa muda Nairobi.
Watu wa rika langu karibia wote walikua na familia zao, Watoto kwa wajukuu, hivyo kila Mara tukiwa wote wao huwahi nyumbani kutekeleza majukumu yao, wanangu wanaishi kwa mama yangu mzazi hivyo kupelekea mimi kuishi mwenyewe licha ya kuonana nao kila mwezi
Hii ilipelekea kupata marafiki ambao ninaendana nao(ma bachelor) ambayo muda mwingine baada ya kazi tulijaribu kufanya starehe hapa na pale ili maisha yasonge
Nakumbuka kuna siku nililewa sana nikafungua Uzi hapa ambapo asubuhi ulinifedhehesha sana...
Ushauri kwa vijana, maisha ya ndoa ni magumu ila umri ukishaenda familia ndio faraja pekee ambayo unaweza kupata, play your cards right, itafika mahali pesa hazitakua na umuhimu kama wengi tulivyodhani.. Usiku mwema wana jamii forum
Nimeweka link kama kuna mtu atataka kupata insight ya nilichopitia
https://www.google.com/url?sa=t&sou...ggfMAE&usg=AFQjCNENc4gOsGn58_zwwXn1Os1h0pJtIw