Nahisi sikufanya maamuzi sahihi, ukiwa na umri mkubwa familia ndio faraja pekee

Uzuri una watoto unachohitaji ni mapenzi ya mwanamke.. For companionship as time goes..hujachelewa the late Mandela married Graça Machel akiwa na miaka ya 80 hivii..baada ya kutoka jela na kuachana na Winnie on grounds za usaliti... Pray,Mungu auponye moyo wako for the parts zinazokunyima imani kucommit, and pray for a partner.. Older women wapoo...umri ukishaenda peace of mind na ur loved ones inakua priority
Kuna umri unaogopa kuanza relationship ndugu yangu
 
Baraka kubwa niliyobarikiwa hapa duniani ni familia, familia kwangu ndio kila kitu. Najua tunaweza kutofautiana sana kama matawi ya mti lkn shina litabaki kuwa 1 tu hata iweje. Anything, I'll die for my family. Nilipishana sana na mshua wangu ktk upbringing, nahisi hata imeniathiri kisaikolojia, yani mimi na mshua haziivi kabisa, lkn najitahidi kumpenda kadri niwezavyo.

Nakumbuka nilifilisi nusu ya biashara yangu ili kulipa deni alilokopa mshua na kuweka bond nyumba. It's one of the toughest challenge I've faced in life. Mimi sijawahi pata muda wa kupiga misele ya pombe na wana - yani urafiki wa kis3ng3 sitaki kbs. Nashukuru hadi kesho sijawahi jua ladha ya pombe, hayo ni mavitu yanafanya watu wawe wapvvzi sana.

Sijajua mke wng atakuaje... but naomba Mungu anipe hekima za kuwa baba bora na mume bora pia.
Nq ushahidi kabisa juu ya hayo Mavitu..kuna jamaa yangu alikuwa yuko safi kidogo financially ila Marafiki na unywaji umemrudisha nyuma sana
 
Familia ni sehemu ya ulinzi,upendo,kuaminika,furaha na mengine mengi...dady alishatangulia mbele ya haki...kiukweli alituacha tukiwa wadogo sana..nilipambana sana kusoma japo uwezo nyumban ulikuwa mdogo..now nina ajira nimejitahid hata nimeingia kukopa ili mumy na wadogo zangu waishi sehemu nzuri...na kwa hili najisikia faraja sana...namwomba Mungu nipate mke mwema na mm niwe mume bora kwake ili tujenge familia imara na ya kumpendeza Mungu.
 
Binafsi nliolewa mdogo... Yaan baada ya kumaliza form six tu nikaolewaa, sijakaa sawa mimba juu..
Baada yamtoto kukua nlienda nlirudi shule. Maisha ya shule na familia na mtoto mdogo magumu sanaa, yaskie kwa jirani. Kipindi hicho best zangu wananichekaa poor girl mimi sijala usichana wangu nimekimbilia shidaa hahahahaaa

Thank God nilistick kwenye familia leo wanaonicheka wananitamani mwanangu mkubwaa anaingia standard three...wao ndo wanatafuta atokee wapi mwanaume amwambie suala la ndoa.
 
Wewe na mtoa mada mmekariri kua familia lazima uwe na mwanaume au mwanamke unaishi nae ndani.

Anyway, kila mtu na mtazamo tofauti kuhusu mambo. Ukiweka akili yako kua furaha/faraja yako haijakamilika au nafsi yako haijakamilika bila kuishi na mwanaume au mwanamke ndani basi utaishi kwa shida sana na mateso ukitafta faraja yako.

Mimi binafsi, hilo sio tatizo kwangu, sijawahi kuwaza kuhusu hilo jambo, na ikitokea basi nitatafta mtoto mmoja au wawili.
Matatizo yafuatayo yatakufanya utamani kuw na mke:-
1.Kupika,
2.kufua,
3.kuosha vyombo,
4.kufagia uwanja,
5.kusafisha nyumba,
6.kuhudumia wageni,
7.kuduuuuu,
8.zamu ya kudeki chooni,
9.kuheshimika kwenye jamii.
and alike.
 
We jamaa nakwambia ukweli... Umejilaani wewe na kizazi chako...
Ulichomfanyia yule mwanamke na kuja kujitapa hapa kitakuwinda na kukuumiza maisha yako yote.

Na usipotubu kwa jamaa zako,kwa huyo dada na kwa Mungu wako....laana hiyo utaiacha kwa vizazi vyako hapa duniani.

You will never be a happy man. Ushauri ninaokupa kajitakase uanze maisha upya.

Huyo dada hata kama alikukosea vipi... Kumsodomy ni laana ya kudumu.

OMBA MSAMAHA.
 
Hizi ndo faharasa,
Kurasa zilizo fichwa,
Kwani heshima ni bure,
Na hekima ni shule.

Ubeti..


Ah ah
Mabitozi wanajiita ma hasla,
Wana vaa kalcha......
Aha aha aha.....
 
Pole sana mkuu,I can wear ur shoes mzee,mim sijafika uo umri lakin swala LA upweke linanikandamiza mbaya najitaid kufanya kazi lakin jion narudi home,..no one there to say something special to,...inauma sana ila maisha yamebadilika mengine inabidi tuyaache yapite,..ila maisha ya mapenzi yamebadilika sana,..hasa uku kwetu mjini,..MTU unakua unashtuka shtuka tu,
Nimekuelewa sana,hiyo kitu upweke inatuumiza wengi.
 
Kuoa mapema kuna raha na umuhimu wake
Tusipelekeshwe na mihemuko wakati wa kuchagua wenza
Tumshirikishe Mungu ili wenza wetu pamoja na sisi tuwe na amani na furaha huko ndoani
 
Wewe na mtoa mada mmekariri kua familia lazima uwe na mwanaume au mwanamke unaishi nae ndani.

Anyway, kila mtu na mtazamo tofauti kuhusu mambo. Ukiweka akili yako kua furaha/faraja yako haijakamilika au nafsi yako haijakamilika bila kuishi na mwanaume au mwanamke ndani basi utaishi kwa shida sana na mateso ukitafta faraja yako.

Mimi binafsi, hilo sio tatizo kwangu, sijawahi kuwaza kuhusu hilo jambo, na ikitokea basi nitatafta mtoto mmoja au wawili.

Umri wako unakuruhusu kuongea hivyo.
Unavyovisikia ni stori tu masikioni,siku ikifika ukweli utauona
 
Mungu akasema si vyema huyu mtu awe peke yake nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.

Aliyesema hivyo ni Mungu na siku zote Mungu haongopi.

Nashangaa wale wanaosema ndoa sio Muhimu wakidanganywa na ujana maji ya Moto, wasijue Uzee bila mwenzako ni pigo kubwa sana.

Umewafungua wenye akili lakini wale wanaoshupaza shingo Kwa kuwa na Kiburi na majivuno. Wakikataa kujishusha Kwa Waume zao, wakiwanyanyasa wake zao na kuwaacha. Hakika hawatabaki salama kwenye Miisho ya uhai wao.

Uzee ni adhabu mbaya hasa ukiwa na upweke. Uzee bila mwenza ni zaidi ya kaburi.

Hakuna anayekujali, na hapa naamaanisha sio kujali Kwa pesa au Mali Bali faraja ya moyo.
 
Wewe na mtoa mada mmekariri kua familia lazima uwe na mwanaume au mwanamke unaishi nae ndani.

Anyway, kila mtu na mtazamo tofauti kuhusu mambo. Ukiweka akili yako kua furaha/faraja yako haijakamilika au nafsi yako haijakamilika bila kuishi na mwanaume au mwanamke ndani basi utaishi kwa shida sana na mateso ukitafta faraja yako.

Mimi binafsi, hilo sio tatizo kwangu, sijawahi kuwaza kuhusu hilo jambo, na ikitokea basi nitatafta mtoto mmoja au wawili.
Mungu hasemi uongo Mkuu.
Si vyema huyu mtu awe peke yake. Nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.

Kama sio lazima Kwa mara ya kwanza Mungu atakuwa Muongo. Kwani itakuwa ni vyema huyu mtu awe peke yake.

Usijejidanganya mkuu labda uwe umefungwa katika vifungo vya giza lakini kama ni mtu kamili basi huwezi kuishi mwenyewe bila faraja ya upande wa pili
 
Kwa maneno yako tu inaonyesha una msongo Wa mawazo ila sikulaumu inaonekana una tatizo kubwa sana ambalo nimeliona kwa wanaume wengi wenye umri mkubwa alafu hawana familia wanalo!... pole hujachelewa punguza kupanic utapata mke.
Achana naye mkuu. Watu wa aina hiyo ndivyo walivyo. Mhurumie tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom