The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,459
- 17,268
Napend kuona mawazo kama haya, mtu unajisemea wewe kwamba familia ni jambo mihimu sana kwenye maisha yako wewe, sasa kuna watu wajinga humu wanataka kulazimisha mtazamo wao uwe ni mtazamo wa watu wote. Unakuta mtu anasema familia ni kitu muhimu kwa kila mtu, huo ujinga sijui wanautoa wapi, kitu muhim kwako sio lazima kiwe muhim kwa kila mtu.Kwangu familia ni kila kitu, ndio maana kila mara natengeneza mazingira ya amani, furaha na upendo coz family is the most important thing in my life.