Nahisi sikufanya maamuzi sahihi, ukiwa na umri mkubwa familia ndio faraja pekee

2017

Member
Dec 17, 2016
64
386
Wakuu kutokana na yaliyonipata niliamua kuishi Mwenyewe licha ya kua na Watoto wawili ambao mama alitangulia mbele ya hako angali wachanga sana

Nilipita kwenye mahusiano ya hapa na pale ila sikutaka kabisa kuji commit kwa mtu, Mungu alinisaidia nikawa nimeacha kutumia pombe, ila kutokana na mawazo na upweke nilianza tena kutumia nikiwa kikazi kwa muda Nairobi.

Watu wa rika langu karibia wote walikua na familia zao, Watoto kwa wajukuu, hivyo kila Mara tukiwa wote wao huwahi nyumbani kutekeleza majukumu yao, wanangu wanaishi kwa mama yangu mzazi hivyo kupelekea mimi kuishi mwenyewe licha ya kuonana nao kila mwezi

Hii ilipelekea kupata marafiki ambao ninaendana nao(ma bachelor) ambayo muda mwingine baada ya kazi tulijaribu kufanya starehe hapa na pale ili maisha yasonge

Nakumbuka kuna siku nililewa sana nikafungua Uzi hapa ambapo asubuhi ulinifedhehesha sana...

Ushauri kwa vijana, maisha ya ndoa ni magumu ila umri ukishaenda familia ndio faraja pekee ambayo unaweza kupata, play your cards right, itafika mahali pesa hazitakua na umuhimu kama wengi tulivyodhani.. Usiku mwema wana jamii forum

Nimeweka link kama kuna mtu atataka kupata insight ya nilichopitia

https://www.google.com/url?sa=t&sou...ggfMAE&usg=AFQjCNENc4gOsGn58_zwwXn1Os1h0pJtIw
 
Baraka kubwa niliyobarikiwa hapa duniani ni familia, familia kwangu ndio kila kitu. Najua tunaweza kutofautiana sana kama matawi ya mti lkn shina litabaki kuwa 1 tu hata iweje. Anything, I'll die for my family. Nilipishana sana na mshua wangu ktk upbringing, nahisi hata imeniathiri kisaikolojia, yani mimi na mshua haziivi kabisa, lkn najitahidi kumpenda kadri niwezavyo.

Nakumbuka nilifilisi nusu ya biashara yangu ili kulipa deni alilokopa mshua na kuweka bond nyumba. It's one of the toughest challenge I've faced in life. Mimi sijawahi pata muda wa kupiga misele ya pombe na wana - yani urafiki wa kis3ng3 sitaki kbs. Nashukuru hadi kesho sijawahi jua ladha ya pombe, hayo ni mavitu yanafanya watu wawe wapvvzi sana.

Sijajua mke wng atakuaje... but naomba Mungu anipe hekima za kuwa baba bora na mume bora pia.
 
Kuna uzi mmoja kuna mtu alisema umemtamani mleta uzi akimaanisha wewe Ontario nikamjibu hapana sijamtamani wala.

Kwa hii quote yako ya leo hasa paragraph ya mwisho yote na ya pili kutoka mwisho kuanzia mstari wa tano kutoka chini.... imenifanya nikupende bure. Hongera sana, hutozeeka haraka. Ningekuwa na binti ningekupa bure awe mkeo.
 
Uzuri una watoto unachohitaji ni mapenzi ya mwanamke.. For companionship as time goes..hujachelewa the late Mandela married Graça Machel akiwa na miaka ya 80 hivii..baada ya kutoka jela na kuachana na Winnie on grounds za usaliti... Pray,Mungu auponye moyo wako for the parts zinazokunyima imani kucommit, and pray for a partner.. Older women wapoo...umri ukishaenda peace of mind na ur loved ones inakua priority
 
Pole sana mkuu,I can wear ur shoes mzee,mim sijafika uo umri lakin swala LA upweke linanikandamiza mbaya najitaid kufanya kazi lakin jion narudi home,..no one there to say something special to,...inauma sana ila maisha yamebadilika mengine inabidi tuyaache yapite,..ila maisha ya mapenzi yamebadilika sana,..hasa uku kwetu mjini,..MTU unakua unashtuka shtuka tu,
 
Wakuu kutokana na yaliyonipata niliamua kuishi Mwenyewe licha ya kua na Watoto wawili ambao mama alitangulia mbele ya hako angali wachanga sana

Nilipita kwenye mahusiano ya hapa na pale ila sikutaka kabisa kuji commit kwa mtu, Mungu alinisaidia nikawa nimeacha kutumia pombe, ila kutokana na mawazo na upweke nilianza tena kutumia nikiwa kikazi kwa muda Nairobi.

Watu wa rika langu karibia wote walikua na familia zao, Watoto kwa wajukuu, hivyo kila Mara tukiwa wote wao huwahi nyumbani kutekeleza majukumu yao, wanangu wanaishi kwa mama yangu mzazi hivyo kupelekea mimi kuishi mwenyewe licha ya kuonana nao kila mwezi

Hii ilipelekea kupata marafiki ambao ninaendana nao(ma bachelor) ambayo muda mwingine baada ya kazi tulijaribu kufanya starehe hapa na pale ili maisha yasonge

Nakumbuka kuna siku nililewa sana nikafungua Uzi hapa ambapo asubuhi ulinifedhehesha sana...

Ushauri kwa vijana, maisha ya ndoa ni magumu ila umri ukishaenda familia ndio faraja pekee ambayo unaweza kupata, play your cards right, itafika mahali pesa hazitakua na umuhimu kama wengi tulivyodhani.. Usiku mwema wana jamii forum

Nimeweka link kama kuna mtu atataka kupata insight ya nilichopitia

https://www.google.com/url?sa=t&sou...ggfMAE&usg=AFQjCNENc4gOsGn58_zwwXn1Os1h0pJtIw
Pole sana Mkuu,hujachelewa kuanza upya.
Achilia moyo wako msamehe yule binti kwa moyo(na naona unajutia sana kwa sababu ulilipa kisasi kibaya) na mtafute umuombe msamaha.
Mungu akutangulie
 
Similar Discussions

26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom