Nahisi nina tatizo kubwa sana

Nahisi nina tatizo kubwa sana

Kwanza wewe kupona ni ngumu maana akili yako tayari ishasema kupata tiba ni ngumu..na akili ikiisha fanya maamuzi hata ije nini haiwezi kukubali mpka yenyewe iamue..kila la kheri mwamba.

Jaribu pia romantic kidogo basi jombaa kwani lazima mpigie game nyumbani?au lodge?au guest house?hapana bhana..

Siku nyingine mnaenda Hotel huko mnakaa mna kula vizuri,mna kunywa vizuri,mwisho mnaenda kutafunana a kwenye bathtub huko huku mna kunywa [emoji485] loh...hebu jaribu kuwa tofauti bhana unaniangusha ujue[emoji28][emoji28][emoji28]

Ukishindwa na hiyo [emoji28][emoji28]basi mwendo porini huko au mashambani [emoji85][emoji85][emoji85]ikishindikana hapo rudi ni nyumbni,msubirie akati mna anza kupika huku mziki laini ukiwa unapiga saaafi kabisa..mna Saidi ana kukatakata Nyanya sijui vitunguu huko[emoji28][emoji28][emoji28]unaanza kutengeneza mazingira ya kumpelekea moto (kumtafuna)[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Au muangalie movie nzuri pamoja,huku mna kunywa kinywaji laini safi kabisa umemlaza kifuani unamshika shuka nywele kidogo,,mgongoni unamtomasa Tomasa [emoji28][emoji28]hawezi kukuchomolea aiseh..mwisho unampelekea moto maridadi kabisa[emoji41]

Mambo yakijirudia tena,,my friend itabid tufanye maombi ya siku 40 mliman usiku na mchana[emoji28][emoji28][emoji28]
Hahah nimeharibu baadhi ila nashukuru kwa ushauri uko vizuri mkuu
 
Mademu wangu wanavyonidandia kwa furaha huku wakililia peremende yangu nashindwa kukuelewa kabisa! Au unavaa kinyago cha kutisha wakati wa sex? 🤔
 
usipange sex..sex ije pale mmeshakaa mmesahau kabisa yan itokee yey mwenyew ndio ananzisha hayo hapo atakua yuko tayar wew unaonekana unapapara na hizo romance huiganyi vizur tayar unachomeka tu
 
Wakuu heshima kwenu. Mimi kama kijana Mtanzania tena rijali kabisa naona naangamia kabisa kwa hili linaloendelea kunitokea katika maisha yangu. Naombeni msaada wenu wana JF wenzangu nahisi kuna mtu nyuma yangu ashafanya yake

Iko hivi, kwa kipindi cha miaka miwili mitatu hapo nyuma mpaka sana nilifanikiwa kudate na wasichana si chini ya 20 yani serious relationship sio onenight stand.

Katika hao wasichana wote kumekua na tatizo linajitokeza pale ninapotaka kufanya mapenzi yaani ku engage in sexual intercourse. Mfano tukiwa chumbani tumevua kila kitu fresh na kuandaana vya kutosha ile nataka tu nipeleke dushe kwenye k demu anakua mkali na hataki tena,na wakati mwingine hata kumuaandaa anakua mkali.Na hata tukifanya nafanya tu ile kama nabaka yani anakua kama analazimishwa.

Wawili kati yao niliwapa ujauzito kwahiyo kipindi wanaendelea kuwa na khali hiyo nikajua labda ni kwasababu ya ujauzito ni kawaida Cha ajabu wasichana wote wapo hivo kila tukifika kwenye sex.Tena wakati mwingine hata hilo tendo linaweza lisifanyike anakua mkali ghafla na anavaa nguo zake.

Juzi kushinda jana nilikua na msichana mwingine ambaye ni mara ya pili kusex nae ya kwanza hakuleta shida hiyo yapata kama wiki hivi imepita.Asa juzi ya pili tumefika room fresh tumeoga tukaanza foreplay kabla ya mchezo.Ghafla akabadilika hataki tena akasema vaa nguo basi na yeye akajifunika khanga yake.

Kiukweli mood yote ilikata nikaijiona kabisa nina tatizo linaniandama ilikhali kimuonekano niko poa msichana ni ngumu sana kuruka na kitandani niko vizuri sio mchovu maana nafanya sana mazoezi na ninazingatia lishe bora ya libido.Tafadhalini wakuu naombeni msaada wenu tatizo ni nini kila nikitaka kufanya mapenzi mpenzi wangu anakua mkali sana ama niseme napoteza hisia mbele yake.

Je!ni kawaida kwa kila mwanaume rijali ama mimi nina kasoro gani!Naomba msaada wenu jinsi ya kutatua tatizo hili.
Huenda una maumbile makubwa ambayo huwafanya waogope...
 
usipange sex..sex ije pale mmeshakaa mmesahau kabisa yan itokee yey mwenyew ndio ananzisha hayo hapo atakua yuko tayar wew unaonekana unapapara na hizo romance huiganyi vizur tayar unachomeka tu
Nashukuru kwa ushauri sema kwenye romance nikikumata nakuachia after 45min. Muda huo nishagusa kila sehemu ya mwili na ushalowana tepetepe ndo napeleka moto
 
Wakuu heshima kwenu. Mimi kama kijana Mtanzania tena rijali kabisa naona naangamia kabisa kwa hili linaloendelea kunitokea katika maisha yangu. Naombeni msaada wenu wana JF wenzangu nahisi kuna mtu nyuma yangu ashafanya yake

Iko hivi, kwa kipindi cha miaka miwili mitatu hapo nyuma mpaka sana nilifanikiwa kudate na wasichana si chini ya 20 yani serious relationship sio onenight stand.

Katika hao wasichana wote kumekua na tatizo linajitokeza pale ninapotaka kufanya mapenzi yaani ku engage in sexual intercourse. Mfano tukiwa chumbani tumevua kila kitu fresh na kuandaana vya kutosha ile nataka tu nipeleke dushe kwenye k demu anakua mkali na hataki tena,na wakati mwingine hata kumuaandaa anakua mkali.Na hata tukifanya nafanya tu ile kama nabaka yani anakua kama analazimishwa.

Wawili kati yao niliwapa ujauzito kwahiyo kipindi wanaendelea kuwa na khali hiyo nikajua labda ni kwasababu ya ujauzito ni kawaida Cha ajabu wasichana wote wapo hivo kila tukifika kwenye sex.Tena wakati mwingine hata hilo tendo linaweza lisifanyike anakua mkali ghafla na anavaa nguo zake.

Juzi kushinda jana nilikua na msichana mwingine ambaye ni mara ya pili kusex nae ya kwanza hakuleta shida hiyo yapata kama wiki hivi imepita.Asa juzi ya pili tumefika room fresh tumeoga tukaanza foreplay kabla ya mchezo.Ghafla akabadilika hataki tena akasema vaa nguo basi na yeye akajifunika khanga yake.

Kiukweli mood yote ilikata nikaijiona kabisa nina tatizo linaniandama ilikhali kimuonekano niko poa msichana ni ngumu sana kuruka na kitandani niko vizuri sio mchovu maana nafanya sana mazoezi na ninazingatia lishe bora ya libido.Tafadhalini wakuu naombeni msaada wenu tatizo ni nini kila nikitaka kufanya mapenzi mpenzi wangu anakua mkali sana ama niseme napoteza hisia mbele yake.

Je!ni kawaida kwa kila mwanaume rijali ama mimi nina kasoro gani!Naomba msaada wenu jinsi ya kutatua tatizo hili.
Labda pengine wameona una kibamia.
 
Jaribu kuwauliza kwa nini hawataki kushiriki tendo,na huwa wanaona nini. Baada ya hapo utajua ufanye nini...
 
Nashukuru kwa ushauri sema kwenye romance nikikumata nakuachia after 45min. Muda huo nishagusa kila sehemu ya mwili na ushalowana tepetepe ndo napeleka moto
sasa unanikamata mimi tena acha mambo yako mimi tena nalowa..huna adabu boya wew..
 
Back
Top Bottom