Nina mashaka sana, mwanamke wangu nahisi kabisa ni dada poa

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Wakuu kumekucha,

Katika haya mahusiano yangu naona kabisa huyu mwanamke atakuwa ni dada poa wakuu , napata mashaka nae sana , tena nahisi kabisa ni dada poa wa weekend ni vile bado sijamfumania kwa macho waziwazi ila kila nikiunganisha dot naona kabisa huyu ni dadapoa.

Nahisi hivi maana kila inapoanza weekend kwanzia siku ya ijumaa , jumamosi mpaka juma pili usiku wa manane hapatikani kabisa na wakati mwingine naona kabisa kama ananichenzea michezo ya kuni block nakuni unblock maana kuna muda na ambiwa simu inatumika mara gafla imepatikana, mara imezimika ila nikituma txt naona zinaenda vizuri tuu.

Ila ikifika jumatatu mapema sana atanitafuta kunijulia hali na baadae ananipotezea na kuniacha niwe mtumwa wake, yani naona kabisa mida ya jioni na usiku mkali kama time table yake inakua imejam.

Wakuu sasa nataka niende zangu nikachek afya alafu nipige chini, japo nafsi yangu kwenye kucheck afya inasitasita sana na sijui kwanini.

Naombeni maoni yenu wakuu.
 
Wakuu kumekucha ....

Katika haya mahusiano yangu naona kabisa huyu mwanamke atakua ni dada poa wakuu , napata mashaka nae sana , tena nahisi kabisa ni dada poa wa weekend ni vile bado sijamfumania kwa macho waziwazi ila kila nikiunganisha dot naona kabisa huyu ni dadapoa.

Nahisi hivi maana kila inapoanza weekend kwanzia siku ya ijumaa , jumamosi mpaka juma pili usiku wa manane hapatikani kabisa na wakati mwingine naona kabisa kama ananichenzea michezo ya kuni block nakuni unblock maana kuna muda na ambiwa simu inatumika mara gafla imepatikana, mara imezimika ila nikituma txt naona zinaenda vizuri tuu

Naombeni maoni yenu wakuu

Fata hisia za mlango wako wa 7 wa fahamu kka..Iamin nafs yako
 
Mashaka Yako ndio majibu Yako!
 
ukapime ili iweje sasa? ehee ukikuta unao? acha kutafuta vitu ambavyo vipo juu ya uwezo wako

kwenye maisha kuna vitu it's better usivijue kwa afya ya akili yako
1) ukimwi
2) mkeo analiwa na huwezi kumuacha

acha kulia Lia
kama mwanaume jipe muda ujifunze Zaid kuhusu masculinity transform yourself from boy to a man

trust your instinct achana nae sasa hivi
"if your answer is not clear yes then it clear NO"
 
Mimi nilisha jiapizaga kabisa katika mahusiano na mwanamke nikisha kua na WASIWASI , UOGA NA MASHAKA naye moja kwa moja najiambia kuwa ndiyo akili nakwa style hii nimeacha wanawake wengi sana na nimelala na wanawake wengi sana. Natafuta yule mwanamke ambaye nikiwa nae najisikia kabisa moyoni nina amani hata kama atakua mtata sana.

Hivyo piga chini huyo haraka ila usiende kupima ngoma kabisa. Wewe jiamini ishi kula vizuri , ukiwa na demu mpya mpime yeye ila wewe usiangaike kupima utaishi sana tofauti na hapo nikujitafutia matatizo tuu
 
Punguza gharama za kumhudumia na umuingie kama mteja wake pia. Hapo kama dau lako la maana utakuwa nae kila weekend.

Usimpleke kibaby baby tena. Unamwambia showtime kiasi gani au kulala. Unaweza kuta kwa 20,000 ukalala nae mpaka asubuhi, kuliko kumfanya mpenzi wako unaishia kumpa pesa za kusuka ili apendeze kwa wateja wake wengine..
 
Back
Top Bottom