monta
JF-Expert Member
- May 6, 2014
- 1,297
- 1,874
Jaribu kufanya nae huyuu...!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna wasichana sio wakuchezea mkuuu... Unatoa ahadi nonoo za ndoa ukipewa puss unakimbiaa ooho bado wengine wanaloga unakuwa unanuka maviiii...Kuna mmoja yupo hadi leo ananililia ila mm simuelewi ila wengi wao tumebaki ushikaji japo show za ugenini napata ila kuchukia kama kawaida
Jaribu na wewe kabla hamjaanza romans zile na wewe ukaoge kwanza inawezekana labda kuna harufu ya mwili na kinywa inatoka wanaogopa kukuambia.jichunguze sana hapo kuna kituWakuu heshima kwenu. Mimi kama kijana Mtanzania tena rijali kabisa naona naangamia kabisa kwa hili linaloendelea kunitokea katika maisha yangu. Naombeni msaada wenu wana JF wenzangu nahisi kuna mtu nyuma yangu ashafanya yake
Iko hivi, kwa kipindi cha miaka miwili mitatu hapo nyuma mpaka sana nilifanikiwa kudate na wasichana si chini ya 20 yani serious relationship sio onenight stand.
Katika hao wasichana wote kumekua na tatizo linajitokeza pale ninapotaka kufanya mapenzi yaani ku engage in sexual intercourse. Mfano tukiwa chumbani tumevua kila kitu fresh na kuandaana vya kutosha ile nataka tu nipeleke dushe kwenye k demu anakua mkali na hataki tena,na wakati mwingine hata kumuaandaa anakua mkali.Na hata tukifanya nafanya tu ile kama nabaka yani anakua kama analazimishwa.
Wawili kati yao niliwapa ujauzito kwahiyo kipindi wanaendelea kuwa na khali hiyo nikajua labda ni kwasababu ya ujauzito ni kawaida Cha ajabu wasichana wote wapo hivo kila tukifika kwenye sex.Tena wakati mwingine hata hilo tendo linaweza lisifanyike anakua mkali ghafla na anavaa nguo zake.
Juzi kushinda jana nilikua na msichana mwingine ambaye ni mara ya pili kusex nae ya kwanza hakuleta shida hiyo yapata kama wiki hivi imepita.Asa juzi ya pili tumefika room fresh tumeoga tukaanza foreplay kabla ya mchezo.Ghafla akabadilika hataki tena akasema vaa nguo basi na yeye akajifunika khanga yake.
Kiukweli mood yote ilikata nikaijiona kabisa nina tatizo linaniandama ilikhali kimuonekano niko poa msichana ni ngumu sana kuruka na kitandani niko vizuri sio mchovu maana nafanya sana mazoezi na ninazingatia lishe bora ya libido.Tafadhalini wakuu naombeni msaada wenu tatizo ni nini kila nikitaka kufanya mapenzi mpenzi wangu anakua mkali sana ama niseme napoteza hisia mbele yake.
Je!ni kawaida kwa kila mwanaume rijali ama mimi nina kasoro gani!Naomba msaada wenu jinsi ya kutatua tatizo hili.
Walahi tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jaribu na wewe kabla hamjaanza romans zile na wewe ukaoge kwanza inawezekana labda kuna harufu ya mwili ma kinywa inatoka anaogopa kukuambia.jichungize sana hapo kuna kitu
Wapo baadhi wachawi(babu)
Kwanza wewe kupona ni ngumu maana akili yako tayari ishasema kupata tiba ni ngumu..na akili ikiisha fanya maamuzi hata ije nini haiwezi kukubali mpka yenyewe iamue..kila la kheri mwamba.Kweli mkuu sema kupata tiba stahiku ni ngumu maana wengi matapeli tu
Anaweza laumu hao wanawake anaokutana nao kumbe yeye mwili wake na kinywa vinatemaWalahi tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kitu cha kwanza kabla ya kuanza chochote katika mapenzi ni kuoga then mengine yanafuataJaribu na wewe kabla hamjaanza romans zile na wewe ukaoge kwanza inawezekana labda kuna harufu ya mwili na kinywa inatoka wanaogopa kukuambia.jichunguze sana hapo kuna kitu