Nahisi nimebambikiziwa mimba

Ipo hivi

1. Kwenda kwa Balozi
Hii ni kosa kubwa utafanya. Utakuwa umeweka ushahidi wa maandishi kwamba kwa namna fulani hara kama sio moja kwa moja unahusika au unaweza kuhusika na huo ujauzito. Acha ibaki hivyo hivyo mpaka pale ushahidi wa kisayansi utakapopatikana.

2. Kupima DNA.
Hii bi hatua ya mwisho kabisa baada ya ushahidi wa awali kushindwa kutoa majibu. Kwa sasa huo ujauzito sio wa kwako mpaka ajifungue na wasikulazimishe na hakuna wa kukulazimisha.

Kwanini wasikulazimishe?
Mlikubaliana kuachana baada ya wewe kugundua ana wanaume wengi kwa wakati huo. Ana uhakika gani mimba ni yako na sio hao wengine?

3. Subiri Muda wa kujifungua.
Huu ndio ushahidi wa kwanza. Subiri uone muda wa kujifungua. Utakupa jibu la lini alibeba huo ujauzito. Toa miezi mitatu tu hapo kwa tarehe ya kujifungua utapata roughly mwezi aliobeba mimba. Mostly utagundua sio wewe. Kama ni wewe kwanini alisubiri muda wote huo. Yaweza kuwa amekataliwa huko anakuangushia jumba bovu.

Subiri mtoto azaliwe ndipo muanzie hapo.

4. Hakuna cha fidia ya gharama, huyo sio mke wako na wala hakuwa mchumba. Hauwajibiki kwa lolote.
 
Siku nyingine; ukiwa unataka kumwacha mwanamke, usimwambie "tuachane"... We piga kimya, atajiongeza mwenyewe. Huwa wanapenda mashindano yasiyo n maana na mwisho wa siku atakupotezea muda na kukudhalilisha.
 
Ila wewe kijana umeshindikana🀣🀣🀣 yaani ulikuwa unamshauri Malaya mwenzio kwamba awe makini ,sijui kimeenda kimerudi...kumbe hata wewe ulimla bila Kinga na si ajabu hata kwenda kituo cha afya kupima hamkwenda, kwasababu Kama mngeenda muhudum wa afya angewashauri pia kuhusu uzazi wa mpango.

Pole sana kwa hilo..
 
Si ilikuwa tamu ukamwagaa hayaa wajibikaaa.
 
Nenda n
aye kwenye kituo cha afya au hospitali ukampime kujua umri halisi wa ujauzito wake na sio umri wa ujauzito kwa kusimuliwa naye. Nadhani lengo lako limo kwenye kujiondoa kwenye utata huo unaokupa wasiwasi.
 
Hivi mnafikiri kupima DNA ni kama kupima malaria?
Ni kipimo chenye process ndefu
Hadi upate kibali mahakamani
Na ukipima utaambiwa mtoto ni wako usituletee watoto wa mtaan
Hizo process atajua mwenyewe mkuu
Yeye kasema atapima DNA
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ haaa!
 
Kwenda kusign kwa balozi! Unamaanisha kwa sasa hutohusika na huduma zozote mpaka ajifungue na isibitike mtoto ni wako ndo ulipie gharama zote za kipindi akiwa mjamzito sio? Kama ndivo iko vizuri hyo, tatzo DNA zetu Bongo ni nadra kutoa majibu ya "mtoto sio wako" #Mondi shahidi
 
Hak
una Sheria ya kulea ujauzito mkuu hata wasikutishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…